mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Enyi waarabu hivi hamumuoni HENDO?KIUNGO MNYUMBULIFU MIDO KISHETI?MCHUKUENI AISEE
HENDO ana mafanikio kuliko STEVE G pale liverEnyi waarabu hivi hamumuoni HENDO?KIUNGO MNYUMBULIFU MIDO KISHETI?MCHUKUENI AISEE
Steve Gerald anamtaka hendo na Thiago....huko Saudia ArabiaEnyi waarabu hivi hamumuoni HENDO?KIUNGO MNYUMBULIFU MIDO KISHETI?MCHUKUENI AISEE
Huyo makalista atakua deadly sana pale livapuliOne important thing that goes under the radar is that these new signings Liverpool are making have huge mentality in themselves. Mac Allister a WC winner, Gakpo was club captain and Dominic is the Hungary national team captain - mentally strong players with huge ceilings.
Tupate na cover ya fabinho moja na beki kama Pavard hivi...game over ...Europa cup...yetu..Huyo makalista atakua deadly sana pale livapuli
Na huyo dogo dommy ni min KDB
Yaani tukipata beki msimu ujao
Tutakua wa moto sana
Mimi nawataka sana Brighton aisee nataka niwanyooshe wale watoto
Na Mimi ndio mawazo yangu tumpate Pavard halafu wakati mwingine TAA awe anakuwa ni cover ya FabinhoTupate na cover ya fabinho moja na beki kama Pavard hivi...game over ...Europa cup...yetu..
Fa yetu...
Pamoja na yote kop, Tukimnyoosha nyumbu huwa napata raha sana.....Huyo makalista atakua deadly sana pale livapuli
Na huyo dogo dommy ni min KDB
Yaani tukipata beki msimu ujao
Tutakua wa moto sana
Mimi nawataka sana Brighton aisee nataka niwanyooshe wale watoto
We jamaa unaongelea FATupate na cover ya fabinho moja na beki kama Pavard hivi...game over ...Europa cup...yetu..
Fa yetu...
Ni taarifa njema hiiSteve Gerald anamtaka hendo na Thiago....huko Saudia Arabia
EPL subiri tuone wengine nao wanasajili vipi...ndo tutajuaWe jamaa unaongelea FA
Talk about EPL au mwenzetu ni non believer
Mimi naaamini wachezaji wetu wana hasira sana
Achana na sisiWeken hela tengenezeni team ya ushindani rudini mtupe changamoto ya ukwl.
Tunatak kufukuzana na nyie walau ndo mnaweza izi mbio mnatupa changamoto ya ukwl.
Acheni ubairi jengen team mje tupambane kiume.. Msikae kinyonge jukwaa linakaa sik 3 halina wachangiaji. View attachment 2681754
subiri msimu uanze ndo utajua haujui...Weken hela tengenezeni team ya ushindani rudini mtupe changamoto ya ukwl.
Tunatak kufukuzana na nyie walau ndo mnaweza izi mbio mnatupa changamoto ya ukwl.
Acheni ubairi jengen team mje tupambane kiume.. Msikae kinyonge jukwaa linakaa sik 3 halina wachangiaji. View attachment 2681754
Romeo laiva wiki hiiGuys hakuna mwingine mpya
wamemuwekea paundi 50 milRomeo laiva wiki hii
Hata mmkama kuna mchezaji simtaki pale Anfield ni Thuram mzito sana


sijui klopp kaona nn pale