Always complainingWhy kulipa 70 last day?
Why hatukulipa 68 Kwa Tchoumeni?au 77 Kwa Velverde???

Why kulipa 70 last day?
Why hatukulipa 68 Kwa Tchoumeni?au 77 Kwa Velverde???
Eti usajili wa playstation![]()



usajili wa playstation dah.!Always complaining
I think watu mnadhani usajili wa wachezaji unafanyika kama kwenye playstation.....Kuna mambo mengi Sana nyuma ya usajili ndugu
According to some rumours..Imelipwa £60m sio £70. Otherwise prove me wrong.
Tchoumeni (hajawekwa sokoni otherwise sijaona popote Madrid kama wanamuuza). At the fast place Tchoumen chosen Madrid over Liverpool, will go back for this kinda player?
Mkuu unajua release clause ya Valverde? Unafikiri atatolewa kiwepesi?
Punguza malalamiko mkuu, acha biashara ifanyike hiyo enforcement at the MF sio nyepesi.
YNWA
Kwenye usajili Kuna vitu vingi vinazingatiwa.mfno mode of payment,salary etcWhy kulipa 70 last day?
Why hatukulipa 68 Kwa Tchoumeni?au 77 Kwa Velverde???
According to some rumours..
Madrid pesa ya Mbappe wanaona lazima Wata sacrifice ili kufidia ...
Na inasemekana tayari Tchoumeni au Velverde mmoja lazima auzwe ..na bei zao zimetajwa Tchoumeni 68.. Velverde 90.....na Arsenal nao wamesogea Kwa Tchoumeni..
Chelsea muda wa mapumziko chumba kimejaa wachezaji,wengine wamwjazana nje na madirishani kusikiliza mawaidha ya kochamusimu ujao mutachakazwa izo nu sign zenu hadi waje kuwa na chemist mutakuwa mupo nafasi ya kumi na sita


Manu Kone nasikia kaumia...haijulikani bado condition yake..Mwanzo Madrid, walichomoa kwa Valverde. Ndipo tukaenda kwa Szoboszlai mazima na tukafanikiwa. They are all good. Lets see our next target
Valverde
Alesandro Bastoni (CB)
Barella
Kone
Thuram
Bado tupo sokoni mkuu ilitolewa £250 na mpaka sasa ni £95 ngoja tuendele kusubiri
Na bado wanasajiliChelsea muda wa mapumziko chumba kimejaa wachezaji,wengine wamwjazana nje na madirishani kusikiliza mawaidha ya kocha![]()



hahahaha wee jamaa umenchekesha kinyamaa😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Chelsea muda wa mapumziko chumba kimejaa wachezaji,wengine wamwjazana nje na madirishani kusikiliza mawaidha ya kocha![]()
Sema Klopp ni fara sana atatufurahisha , maana Hendo ni Mkwe wake sijui. Yaani Fab3 atakula bench Hendo atacheza,,Panga pangua ishaanza hendo na Fabinho wajiandae kuwa bench warmers.
Tchoumeni ni kiungo wa kawaida sana, jembe ni Ferde valverde huyu ni jiwe kweli kweli, tukifanikiwa kumpata pale kati tutakua hatariAccording to some rumours..
Madrid pesa ya Mbappe wanaona lazima Wata sacrifice ili kufidia ...
Na inasemekana tayari Tchoumeni au Velverde mmoja lazima auzwe ..na bei zao zimetajwa Tchoumeni 68.. Velverde 90.....na Arsenal nao wamesogea Kwa Tchoumeni..
Tchoumeni ana nguvu ukijaza wazungu watupu katikati kuna mechi tutapigwa Kwa kushindwa physic....Tchoumeni ni kiungo wa kawaida sana, jembe ni Ferde valverde huyu ni jiwe kweli kweli, tukifanikiwa kumpata pale kati tutakua hatari
Tatizo uzito, angekua mwepesi na mwenye kasi kama prime Ngolo Kante angekua hatariTchoumeni ana nguvu ukijaza wazungu watupu katikati kuna mechi tutapigwa Kwa kushindwa physic....
Tunahitaji mtu mweusi mwenye nguvu japo mmoja...kama alivyokuwa Gini...ndo maana unaona Romeo laiva watu wanamzungumza sana