The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,509
Ugarte ....
Barella..
McAllister
Rumours hizi zitatunyofoa viungo..!!!
They are all good kufit kwa Klopp.
Nafikiri twapasa kufanya biashara kubwa 2-3 kimya kimya ili kupata wachezaji wazuri kwa bei nzuri.
Rice nasikia Westham wameshasema anapatikana kwa £120m hapo timu bado hazijaanza kupeleka maombi ya kumsajili.
Yasije kuwa ya Kevini Philips.
YNWA