Yeah kunakua walau na balance plus connection kati ya Defense and attack.
Calvin Ramsey feel sad hatujamuona msimu huu, pengine angeshaiva kuichukua No. Taa asogee CAM…!!! Akirudi ana kazi ya ziada maana EPL mkiki mkiki.
Naona Klopp akimkubali Nunes. Sijui kama anawaza kwa R. Neves. Klopp anataka kusajili wawili au watatu kutoka EPL team
Kwa haraka haraka kuna hawana ambao labda tunaweza kuwachukua. Sio kwa pamoja hata watatu.
Enciso
Neves
Rice
Nunes
Tielemans
Mount
Hawa ndio Klopp naona akiwakubali sana.
Turudi tuishawishi Westham watuachie Bowen. He is a pure Klopp’s type
Athletic player, fitness one.
Kuna talents nyingi kam Klopp na jopo lake wakituliza kichwa. Na sio kusubiiiiiiri mpaka waje wafanye panic transfers.
View attachment 2620860
Fitness

Age 26

40+ matches per season

10+ G&A per season

Preferred foot is left

Huyu ni back up ya Salah 100%
YNWA