Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leicester nao wanashuka..
Tukachukue Nani?

Tielmans..
Ndidi.
Madison .
??
Tangu yule mmiriki afe kwa ile ajali ya ndege hii timu imekua ya hovyo sana japo wanatengeza hasara kama misimu mitatu hivi kiasi walishapewa angalizo wa balance vitabu na hii iliwapelekea kukosa kuwekeza kwa wachezaji katika madirisha kadhaa yaliyopita.. Kimsingi hili la wao kushuka daraja lipo wazi kwani kuna kipindi wanapata majeruhi aafu unakuta ma beki ni MF tupu.

Maddison atakua Kieta au Thiago aliechangamka hivyo hapana... Ndidi nae sio big boys league class ana mapungufu yake mengi mengi.. Tieleman huyu kama mshahara na bei yake sio parefu aje.. Actually pale Southampton pana wachezaji wengi sana wa kuzoa kuliko hapa Leicester.

YNWA
 
Tielemans ni free agent kufika june. Stats zake zinaridhisha kama free injury player.

IMG_1757.jpg

Stats zake walau anakupa mechi 35+ akiwa uwanjani.
IMG_1756.jpg

Huyu ni Ward Prowse injury free player. Anakupa 10+ G&A as MF.
Will be good signing bei nzuri mshahara rafiki kwa bajeti zetu za kibahili.
 
Wana ondoka hawa..
1.Firmino
2.Milner
3.Ox
4.Keita
5.Arthur

Je tutapata replacement quality??

Adrian pia bye bye.

Carvalho nahisi atatolewa kwa mkopo japo Klopp amesema ana mpango naye.

Kelleher huenda akaomba kuondoka akapate game time.

Hivyo naona tukiwa na busy summer. Kikubwa biashara zifanywe fasta as incomers kabla bei hazijachangamka.

YNWA
 
Tielemans ni free agent kufika june. Stats zake zinaridhisha kama free injury player.

View attachment 2617286
Stats zake walau anakupa mechi 35+ akiwa uwanjani.
View attachment 2617287
Huyu ni Ward Prowse injury free player. Anakupa 10+ G&A as MF.
Will be good signing bei nzuri mshahara rafiki kwa bajeti zetu za kibahili.
Both Tielemans na Ward sio big game players hawa at least may be hawajapewa hio platform ya kufikia level hizo.... Lazima tu sign elite player mmoja to change kabisa this lackluster form.. Lazima tufahamu kwamba ishu tunahitaji creative players to get the best from Nunez...

I won't mind getting Ward na Tielemans kama 2nd n 3rd choice baada ya kupata creative boy pale kati.

Ward mipira ya adhabu pekee italipa mshahara wake haha boy is dead ball guru... The street are yet to know how good he is....

YNWA
 
Yaani huyu ETG hana jambo bora Manjesta wangebaki na Ole tu 😂😂😂
😂 😂 😂 Wakati wanasema he is pumping above his weight haha... Kwamba hata Carabao hakutakiwa achukue wala big 4 kwa kua bado kikosi sio kamilifu...

I won't mind wakipata na FA.😂😂Ila Big 4 waachie hatuna namna.

YNWA
 
Both Tielemans na Ward sio big game players hawa at least may be hawajapewa hio platform ya kufikia level hizo.... Lazima tu sign elite player mmoja to change kabisa this lackluster form.. Lazima tufahamu kwamba ishu tunahitaji creative players to get the best from Nunez...

I won't mind getting Ward na Tielemans kama 2nd n 3rd choice baada ya kupata creative boy pale kati.

Ward mipira ya adhabu pekee italipa mshahara wake haha boy is dead ball guru... The street are yet to know how good he is....

YNWA

Yes..!! They are not elite players, lakin vipi kama una jones 1st eleven, na timu linaenda enda tu, why not Tielemans??

Hawa wanaweza kutupa depth hata mickey mouse cups timu inakuwa na players wa kiwango cha Ward wanawapa kitu.

Nafikiri tutapata 2 elites and 2 as 2nd choice. But i believe Klopp kwenye kuwafanya wasiojulikana wajulikane.
YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom