choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
Safi Arsenal, Newcastle ana leeds, brighton, leicester na chelsea, tukikomaa kushinda mechi zetu huenda tukaambulia kitu
Ni kama miaka 8 hivi na kila dirisha anatajwa kutua Anfield. Klopp kwa sasa afanye kweli japo naona kipengele cha umri ana 28 kwa sasa kinaweza kua kikwazo kutua Liverpool.Zielinski tokea nakuwa nimekuwa nasikia anahusishwa na Liverpool
Simchuki aisee mbali wenye timu wamechelewa sana kumtoa akasake maisha kwingine...Ila Babu alikuwa assist leader Uefa Champions league 2018 kama sikosei...Mkuu mpe heshima yake japo hutachukiwa wala kupendwa na kila Mtu.
Ushamtema Matip na kusahau shingo lake lilivyokua linakutoa macho 🙃🙃Ma boy 😍🔥
AnipisheUshamtema Matip na kusahau shingo lake lilivyokua linakutoa macho
YNWA
Hv bdo unategemea kuwa FSG watoe pesa ili kusajili wachezaji watano kwa mkupuo?Macalister
Mason mount
Nicolo Barela...tukiwapata hao..
Tukiongeza na Salisu na ward prawse...itapendeza sana


Hilo tusahau maana watakao letwa ni wawili au mmoja tu usajili unakamilika 


Hv bdo unategemea kuwa FSG watoe pesa ili kusajili wachezaji watano kwa mkupuo?Hilo tusahau maana watakao letwa ni wawili au mmoja tu usajili unakamilika
![]()
Kilichotokea msimu huu kwa Liverpool naiman hawawez kufanya makosa tena ya kushindwa kusajili wachezaj kwenye maeneo muhimuHv bdo unategemea kuwa FSG watoe pesa ili kusajili wachezaji watano kwa mkupuo?Hilo tusahau maana watakao letwa ni wawili au mmoja tu usajili unakamilika
![]()
Man U kashatema ndoanoView attachment 2614168
Assuming hatupotezi wala kutoa sare mechi zilizobaki basi huyu OllaChuga Oc afanye msaada tujikute Big 4.
Chelsea sasa ndio ameshikilia mpaka ubingwa wa Arsenal 😅😅😅.
Come one Les Blue fanyeni kweli undugu kusaidiana... 😁😁😁
YNWA
😂 😂 😂 ETG alisema anakuja kuvuja uflame wa Klopp na Kipara kumbe hakujua huu mchezo hautaki maneno mengi mengi mbali matokeo uwanjani.Man U kashatema ndoano
newcastle keshaenda, anahitaji point 6 ili afuzu CL, atazipata tu kwa hizo game alizobakiwa nazo!View attachment 2614168
Assuming hatupotezi wala kutoa sare mechi zilizobaki basi huyu OllaChuga Oc afanye msaada tujikute Big 4.
Chelsea sasa ndio ameshikilia mpaka ubingwa wa Arsenal.
Come one Les Blue fanyeni kweli undugu kusaidiana...
YNWA
man u huwa anateseka away, home atashindaView attachment 2614168
Assuming hatupotezi wala kutoa sare mechi zilizobaki basi huyu OllaChuga Oc afanye msaada tujikute Big 4.
Chelsea sasa ndio ameshikilia mpaka ubingwa wa Arsenal.
Come one Les Blue fanyeni kweli undugu kusaidiana...
YNWA

newcastle keshaenda, anahitaji point 6 ili afuzu CL, atazipata tu kwa hizo game alizobakiwa nazo!
Yaani huyu ETG hana jambo bora Manjesta wangebaki na Ole tu 😂😂😂😂 😂 😂 ETG alisema anakuja kuvuja uflame wa Klopp na Kipara kumbe hakujua huu mchezo hautaki maneno mengi mengi mbali matokeo uwanjani.
YNWA