Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Team news Liverpool vs Brentford

Liverpool: Alisson, Alexander-Arnold, Konate, Van Dijk, Robertson; Fabinho, Jones, Gakpo; Salah, Nunez, Jota.

Subs: Kelleher, Gomez, MilneršŸ˜€, Henderson, Elliott, Tsimi4kas, Fiaz, Carvalho, Matip.

YNWA
 
CHEERS KWA WARD KUTOKUMBALI HUYU BABU KAKAKE Saint Anne apewe mkataba mpyaaaaa...

Hii ishu ilitakiwa awe ameshasepa tangu 2020 sijui wamechelewa wapeee maana angesepa 2020 basi hii 2023 angesepa dogo Henderson lakini duh naona bado tunae.

Am happy at least sitamuona huyu babu tena na uzi wa Real Reds next season...

Klopp shame on you kwa kung'ang'ania ma dead woods.

Ila Brighton bhana wakamchukua Lallana, Welbeck na sasa Milner, je hii ni home grown players ishu ama namna gani.

YNWA
Ila Babu alikuwa assist leader Uefa Champions league 2018 kama sikosei...Mkuu mpe heshima yake japo hutachukiwa wala kupendwa na kila Mtu.
 
Keita, walikuonea sana kukupa jezi namba 8 ya SG huku wakijua wazi kabisa hata uwezo wa jonas mkude huna

Kwaheri baba, nitakukumbuka kwa goli lako la ufunguzi dhidi ya manyumbu pale Old toilet tulipowanyoosha 5

Otherwise sina kumbukumbu zozote za kiwango chako tangu utue Anfield
Keita ana kipaji ni Aina ya mfumo umemkataa kupelekea injury za mara kwa mara.
 
Ma boy šŸ˜šŸ”„
 

Attachments

  • IMG_20230506_215000_350.jpg
    IMG_20230506_215000_350.jpg
    494.9 KB · Views: 8
Mason mount ni Addition nzuri sana kwetu wakija mount, McAlister, na Tieleman kisha tukaongeza beki wa kati mmoja kwangu mimi usajili utakuwa umetisha sana. Kumbukeni Bajcetic msimu ujao anasehemu kubwa sana bado kuna Jones na Elliot. The future is bright
Hao watatu wakitua kwa pamoja itasumbua kwny rotation ya players Nani awe regular starter na Nani akalie benchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom