Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo Manunuz wako sijamtaja Mimi๐Ÿ˜‚
Niache๐Ÿคฃ

Yule dogo mweupe kama karatasi,bila kuwa na kikosi bora asingetoboa..
Ni European biscuits tupu kuanzia kichwani ๐Ÿ˜
Mcheki Klopp atuambie mpango wake ulikua upi kutuletea lone 9 aafu walishaji wenyewe wanajua zaidi kurusha maneno kuliko ma assist bhana...

YNWA
 
Aka the hockey stick boy....

Pale Southampton wapo wachezaji wafuatao mbao Klopp lazima awaangilie kwa jicho la kipekee especially kama wakishuka daraja
Kama ifuatavyo
Beki kuna
Muhammad Salisu CB
Duje culeta CB
Kyle Walker RB

Midfielders
James Ward Prowse
Mussa Djenapo
Diallo
Romeo Laiva

Hapo Klopp anapata squad player wa kueleweka na wenye uzoefu wa EPL.

YNWA
Hapo kwa Kyle Walker waelewe kuwa ni Kyle Walker-Peters
 
Leo zimeingia town nimesikia kuhusu McAllister is it a done deal?
Welcome back comrade..

Macalister sio done deal but he is interested to join Liverpool hivyo kashapewa package na Liverpool wametuma ujumbe kwamba angalau ndani ya wiki tatu zijazo wapate baraka za Brighton kuedelea na kuanz/ mazungumzo rasmi.

YNWA
 
Tungempata RB mmoja ili TAA akarudi Midfielder ingekuwa poa sana maana huyu jamaa ana create chance pia ni dizaini ya KDB angetengeneza magoli mengi sana.
Kwa namna Klopp anavyotesti MF ya Trent naona hii ishu ipo wazi usajili wa RB utakuwepo...

Trent = Jude Bellingham ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hapana cheza na Klopp hajawai kushindwa jambo..

YNWA
 
Mambo yanabanana Kopite, nilikuwa chaka moja la Simba baadhi ya matokeo ikabidi kuuliza wadau ila I hope tutakuwa wote in the long run
No worries mate na bora hata hujakuwepo maana maumivu yalikua mengi sana aisee.. umerudi muda mwafaka tumeanza kuona ushindi japo wa kusuasua..

Huu msimu wa maumivu tu tujipange msimu ujao

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom