The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Thiago mikiki ya EPL imemtesa sana. Ningekua yeye ningesepa tu.
YNWA
Replacement za
Firmino
Milner
Ox
Keita ni zipi so far?
Nimemsikia McAllister only...any news?
Thiago mikiki ya EPL imemtesa sana. Ningekua yeye ningesepa tu.
YNWA
Napo Deal bado unaweza kushangaa wakamdaka Man u sisi tukabaki tunang'aza sharubuReplacement za
Firmino
Milner
Ox
Keita ni zipi so far?
Nimemsikia McAllister only...any news?



Mkuu usichojua wewe ten hag ni mkubwa kuliko hata pep.View attachment 2611158
allypipi Huyu Kipara alikuja pale Manjesta akiwa kijana lakini alivyozeeka kwa kasi ya ajabu anatia huruma....
YNWA
Hata Bruno Fernandez Sisi ndo tulianza harakati..Man U wakambeba...ndo kawaida yetu..Napo Deal bado unaweza kushangaa wakamdaka Man u sisi tukabaki tunang'aza sharubu![]()
Inasikitisha saana kuona Milner anaondoka Milner weeeeeeeeee!View attachment 2610920
Finally
Kuwaondoa hawa wa tatu ni big achievement kwetu.
Bado mikopo na wa kuuzwaz.
Gomez
Philips
Matip
Hawa huenda wakauzwa ila itakuwa part of the deal ya manunuzi ya players wengine.
Carvalho loan
Im ok Thiago na Hendo wabaki 1 season next summer tuwafungulie mlango . Kusajili wengi kwa mkupuo sio suluhushi yatatukuta ya chelsea.
Tulikubaliana babu anadeal na Milner🤣
Wafia timu wawili na janjajanja mmoja
Watu wabaya🤣
#LFCTielmans nimekuwa nikimkubali siku zote. Anaweza kuwa msaada mkubwa, tena bado ana umri wa kufaa kabisa. Huyu ni bora kuliko Mwingereza wetu-JudeView attachment 2609566
Mambo yanaanza kimya kimya huko.
Awahiwe kabla ya bei haijachangamka.
Tukamchukue Rabiot & Tielemans as free agents. Rabiot (27 years) Tielemans (25 years). Both are Versatile MF.
YNWA
Wakati Southampton kuna Ward prawse.... .Bora kuliko mountTielmans nimekuwa nikimkubali siku zote. Anaweza kuwa msaada mkubwa, tena bado ana umri wa kufaa kabisa. Huyu ni bora kuliko Mwingereza wetu-Jude