Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
😂 😂 😂 😂 Kwa hio unasema aje tuchukue kabisa tiketi za Wembley mapema...Msimu ujao
- Liverpool Bingwa wa EPL
- Liverpool Bingwa wa Uropa
- Liverpool Bingwa wa FA
YNWA
😂 😂 😂 😂 Kwa hio unasema aje tuchukue kabisa tiketi za Wembley mapema...Msimu ujao
- Liverpool Bingwa wa EPL
- Liverpool Bingwa wa Uropa
- Liverpool Bingwa wa FA
Champions League msimu huu au msimu ujao.. Kama ni huu katazame tena msimo ndugu...Kufuzu Champions League kutawapa kiburi FSG & Klopp.
YNWA
😂 😂 😂 😂 Nilikuwepo bhana 🙌🙌ohoo mie babu ujue...Kumbe miaka ya 80
I'm sure hata wewe haukuwepo Bado😁
Halafu nikawa nasoma tulichukua makombe mfululizo EPL,kabla hatujakaa miaka 30 bila kuchukua😁
Hana adabu yule dogo ila kwa sasa atakua anacheza vs Anfield kwa heshima zaidi... Wakati mwingine ebu acha action ziongee zaidi kuliko maneno.Macho yake yanaonyesha tu😆
Captain Marvelous hebu weka tena ile picha ya kijana wa hovyo
Mkuu asikwimbie mtu pigo la kukosa Champions League madhara yake sio ya kitoto ujue... Ukumbuke Liverpool wanatumie zaidi ya asilimia 70 kulipa mishahara ya wachezaji na supporting staff wa klabu hivyo kukosa ule mpunga kunaleta madhara makubwa kimapato japo kwa matangazo na kuongezeka expanded match day income pale Anfield kutasaidia kupunguza makali lakini FSG wana hali tete... Soon utasikia wamepata kuuza hisa kadhaa kwa£500m kwa fulani maana Gordon alishasepa kutoka Uingereza na kuhamia US ili akamilisha mauzo ama uwekezaji wa Liverpool...Kwa taarifa zisizo rasmi bado, FSG wamedai watampa Klopp fungu la kutosha kwa ajili ya maandalizi ya msimu.
Jambo la pili; Klopp amesema wapo kwenye mchakato wa kumtafuta sporting director. Na anataka mpaka July 8 atakaporudi likizo mambo yawe tayari. Wakuondoka ameondoka wakusajiliwa amesajiliwa.
Bahati yao FSG, klopp ndio kocha timu bado ina mvuto.
Hautashangaa liverpool ikija kua top four ya klabu iliyouza haki zake za matangazo kwa wingi.
Kitendo cha kumng'ang'ania Milner ambae hana jipya la kutuonyesha ni udhaifu wa Klopp kua na soft spot ya hawa watoto wa Mflame Charles...Possible.
Klopp aendelee kucheka cheka hapo, dunia itaangalia makombe sio kandanda safi.
City inataka kuachana na Gundogan & Silva
Upande wa pili tunawaza kuwapa majeruhi mikataba.
Klopp anataka Milner avunje records za appearance ndio maana hata dk ya 90 atamuingizia.
Kwenda 😂😂😂 😂 😂 😂 Nilikuwepo bhana 🙌🙌ohoo mie babu ujue...
YNWA
Huyu ni wa kumvunja japo mguuHana adabu yule dogo ila kwa sasa atakua anacheza vs Anfield kwa heshima zaidi... Wakati mwingine ebu acha action ziongee zaidi kuliko maneno.
YNWA
Jota kwenye one vs one akiwa upande ule wa kushoto ni nadra sana atakosa kufunga aisee. Boy has class and he delivered the goods when its mattered.Kabla Jota hajapiga mpira commentator akapiga Joooootaaaaaaa alijua angle ile kwa Jota nyepesi kuweka kwa mguu wowote ule.
Spurs msimu huu tumewapa dozi. Ile draw yao ya last season ilitupoka ubingwa. Ilikuwa moja ya mechi tano za mwisho kama sijasahau.
Msimu wana bahati mbaya na sisi, first match Dier assisted to Mo Salah, 2nd match Moura assisted to Jota a crual assist compare to Dier.
😂 😂 😂 So you wish haha.Kwenda 😂😂
Ukute hadi mimi nimekupiga gap parefu na husemi
Hapana atakua anasema aaaa ningekua uwajani tusingepigwa leo haha huyu tena awe anaanza mechi zote wakija Anfield...Huyu ni wa kumvunja japo mguu
Prove me wrong😂 😂 😂 So you wish haha.
In ua dreams comrade.
YNWA
Sema Jota lile goli la mwisho alijua kumchoma nalo dogoHapana atakua anasema aaaa ningekua uwajani tusingepigwa leo haha huyu tena awe anaanza mechi zote wakija Anfield...
YNWA
Mnataka tena kuingizwa cha kike 😆😂 😂 😂 😂 Kwa hio unasema aje tuchukue kabisa tiketi za Wembley mapema...
YNWA
Send Milner n Henderson away June 2023 and i will be dinning with you comrade 😀😀😀Prove me wrong
Bring here your birth certificate
😂 😂 😂 😂 😂 Bhana we are staying put hii timu hua maajabu hayaishi aisee unaweza shangaa Milner miwili tena na Klopp akakomaa kwamba Jones amepona hivyo ni usajili mpya kwake...Mnataka tena kuingizwa cha kike 😆
Tulikubaliana namtoa Milner na Matip.Send Milner n Henderson away June 2023 and i will be dinning with you comrade 😀😀😀
Peleka taarifa Kyela kwa babu afanye jambo majina ya hao jamaa yaingie kwenye release list ya akina Ox, Keita, Phillips, Matip nk
YNWA
Yaani Sasahivi inabidi tufungwe mechi zote zilizobaki ili angalau bangi zipungue kichwani kwa huyu mzee.😂 😂 😂 😂 😂 Bhana we are staying put hii timu hua maajabu hayaishi aisee unaweza shangaa Milner miwili tena na Klopp akakomaa kwamba Jones amepona hivyo ni usajili mpya kwake...
Kwa sasa Klopp anatupa matumaini wwe subiri dirisha atafyata huyu labda FSG wakope ela.
YNWA
Deal agreed.Tulikubaliana namtoa Milner na Matip.
Hendo🥲, Probability ya kuondoka ni 0.01
Usitake nikose dinner kizembe😂
Ngoja tuende kuwatengeneza,wakose amani hadi waondoke.
Mababu wa Tukuyu hawajawahi shindwa jambo.
Btw I am older than you😂