Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Mambo myNgoja waje wamiliki wa Liverpool kutoka Tukuyu akina Malafyale,wanaojiita liver halisi utadhani wana hisa zao hapo
Watakuambia Liverpool halisi hawakosoi timu.
Mambo myNgoja waje wamiliki wa Liverpool kutoka Tukuyu akina Malafyale,wanaojiita liver halisi utadhani wana hisa zao hapo
Watakuambia Liverpool halisi hawakosoi timu.
Levy is a fluke.. Kile kipara chake ni tatizo... Kocha kaipeleka timu Champions League final badala waweke mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu Levy akawana anataka short cut matokeo yake ndio walipo sasa.Pochetino alikuwa designed for Spurs like Klopp for Us
Most likely Poch will end up pale Chelsea even the players are super positive with his arrival.Yaani tot walikosea Sana kumfukuza pochetinno
Ni kama sisi tumfukuze klopp kisa hii bad patch
Maajabu ujue yapo tazama hili hatunae Gini wala Mane lakini wapo useless Henderson na Milner pushing kuingia big 4 huku Klopp akiwa anapata usingiz kabisa kwamba anakikosi kamili.Ila huwa anakaba bwana.
Timu kuporomoka ni matokeo ya tiresome wachezaji wote., Si Hendo pekeyake.
Sasa Trent kupokonya mpira huwa ni kipengele.
Nakazia😂🔥🔥🔥🔥Siku akiodoka Henderson na Milner yaaani wakasepa away you got ya self dinner 👌🏿👍👍👍😁
YNWA
Yaani wewe 😂Mambo my
NdiyoYaani wewe 😂
Hujambo?Ndiyo
Ni mke wa mganga huyoNdiyo
MarahabaHujambo?
Umenisusa siku hiziMarahaba
Hii mechi dhidi ya Spurs tulishinda ila kwa mbinde sana
Vvd amechoka sana
Beki ni Konate tu.
Yaani tunatangulia kwa bao tatu lakini zinarudishwa aisee🙌Hii ilikuwa yetu mkuu, ilipangwa tushinde tu naombea tuzidi tubaku uefa next season
😏😏😏😏Piga ramli hawa watoto wa Mflame Charles waodoke hii timu wana nuksi hawa kuwabakisha tutakua wasidikizaji...Nakazia😂🔥🔥🔥🔥
We niache🤣
🤣🤣🤣😏😏😏😏Piga ramli hawa watoto wa Mflame Charles waodoke hii timu wana nuksi hawa kuwabakisha tutakua wasidikizaji...
YNWA
Tulioanza kufuatilia mpira juzi tunatoa macho