Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tulioanza kufuatilia mpira juzi tunatoa macho
Hahaha Ian Rush aka Rushie in Liverpool accent.

Huyu mwamba dogo Nunez ana mengi ya kujifunza kasoro lile ka kuhamia mazima Juventus msimu mmoja na msimu uliofuata akarejea Liverpool.

Ndio aliongoza mashambulizi Liverpool kushinda mataji mawili msimu mmoja ambayo Ubingwa wa ligi na kombe la ligi kwa pamoja kwa mara ya kwanza...

Ana rekodi ya pekee kufunga goli 44 mashidano ya kombe la FA sina hakika kama hio rekodi imevunjwa.

Alishinda Ubingwa wa Ligi mara 5 akiwa na Liverpool. Kombe la ligi mara 5, Kombe la FA mara 3, FLSC mara 1, Ngao ya Jamii mara 4, na European Cup mara 2.

Wakati yupo Liverpool walifungiwa karibu miaka 5 kucheza Uefa.

Aliodoka Liverpool akiwa amefunga magoli 346 huku akiwa Top Scorer wa Liverpool kwa misimu nane.

Alisajiliwa Liverpool 1980 na kuodoka akauzwa Juventus 1986 kwa rekodi ya Uingereza ya £3.2m akacheza kwa mkopo Liverpool na baadae msimu wa 1987 akahamie Juventus ambaoo hakuwa na wakati mwema kama alivyotegemea hivyo mwaka 1988 akarejea tena Liverpool 1988 kwa asa ya £2.8m ikiwa rekodi ya Uingereza enzi hizo.

Rush aliodoka rasmi Liverpool mwaka 1996.

Anarekodi ya kipekee Liverpool haijawa kufungwa katika mechi 144 alizofunga yeye.

YNWA
 

Possible.

Klopp aendelee kucheka cheka hapo, dunia itaangalia makombe sio kandanda safi.
City inataka kuachana na Gundogan & Silva
Upande wa pili tunawaza kuwapa majeruhi mikataba.

Klopp anataka Milner avunje records za appearance ndio maana hata dk ya 90 atamuingizia.
 
Sidhani kama ana goli 3 pale Tottenham huyu dogo aafu analeta kidomo wakati kipenga cha mwisho badoooo....
Jota magoli amepona.

YNWA

Kabla Jota hajapiga mpira commentator akapiga Joooootaaaaaaa alijua angle ile kwa Jota nyepesi kuweka kwa mguu wowote ule.

Spurs msimu huu tumewapa dozi. Ile draw yao ya last season ilitupoka ubingwa. Ilikuwa moja ya mechi tano za mwisho kama sijasahau.

Msimu wana bahati mbaya na sisi, first match Dier assisted to Mo Salah, 2nd match Moura assisted to Jota a crual assist compare to Dier.
 
Hakuna shabiki wa livapuli asiyemchukia huyu jamaa

Mjinga yule, toka yupo Everton ni kisirani na Liverpool. Anacheza mpira vita akikutana na LFC.

Kuna mechi tulikutana nao, VVD yupo kwenye ubora kabla ya injury. Richarlson alijuta, aliwekwa mtu kati Vvd, huku Fabinho, huku Henderson.
Alipigiwa harakati. Sikutamani mechi ile imalizike.
 

Kwa taarifa zisizo rasmi bado, FSG wamedai watampa Klopp fungu la kutosha kwa ajili ya maandalizi ya msimu.

Jambo la pili; Klopp amesema wapo kwenye mchakato wa kumtafuta sporting director. Na anataka mpaka July 8 atakaporudi likizo mambo yawe tayari. Wakuondoka ameondoka wakusajiliwa amesajiliwa.

Bahati yao FSG, klopp ndio kocha timu bado ina mvuto.
Hautashangaa liverpool ikija kua top four ya klabu iliyouza haki zake za matangazo kwa wingi.
 
Kumbe miaka ya 80
I'm sure hata wewe haukuwepo Bado😁

Halafu nikawa nasoma tulichukua makombe mfululizo EPL,kabla hatujakaa miaka 30 bila kuchukua😁
 
Utadhani anavuta bangi kwa mbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…