Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Aaron Arsenal huyu Kipara sio mtu mzuri kabisa.
Saliba kuumia mmepoteza nafasi kubwa sana kuchukua ubingwa.
YNWA
Vvd anakabia matako nowAsee kama umeangalia mechi tumeshinda lakini , fabinho, vvd, henderson, hawa watu wamechoka mno, hii timu eti mtu mmoja wa westham anapiga chenga watu wanne
Goli la kwanza ile 1,2 waliyopigiana huku kuna msitu wa mabeki wetu na mpira ukapita pale pale,
Nb kama sio uzembe wa Antonia first half tuu tungefungwa goli 3
Mi huwa nakuelewa Sana mwananguMilner mitano tena ni kiongozi uwanjani Tuna imani nae




Thubutu sisi wetu ni Milner Henderson na Ox mtaalumu wa pasi za mwishoMara nasikia de jong anatua Liverpool.. yaani sielew
BREAKING: Brighton are favourites to sign James Milner this summer on a free transfer.
(Source: @David_Ornstein)
Mara nasikia de jong anatua Liverpool.. yaani sielew
BREAKING: Brighton are favourites to sign James Milner this summer on a free transfer.
(Source: @David_Ornstein)
Sawa tumekuelewa njoo kivingine tena.Thubutu sisi wetu ni Milner Henderson na Ox mtaalumu wa pasi za mwisho
Tuna Thiago pia