Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,485
- 32,942
😂 😂 😂 😂 Mpe heshima yake ya kutengeza nafasi za kufunga bhana.Anazidiwa hadi na Hendo kuzuia
Henderson hua naona anakimbia kama jogoo wa Tukuyu. Nae hana afadhali bhana ni wale wale.
YNWA