Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Sidhani kama ana goli 3 pale Tottenham huyu dogo aafu analeta kidomo wakati kipenga cha mwisho badoooo....Hakuna shabiki wa livapuli asiyemchukia huyu jamaa
Jota magoli amepona.
YNWA
Sidhani kama ana goli 3 pale Tottenham huyu dogo aafu analeta kidomo wakati kipenga cha mwisho badoooo....Hakuna shabiki wa livapuli asiyemchukia huyu jamaa
😂 😂 😂 VVD doing music dance live.We are always shambolic
Lile ndio goli lake la kwanza epl msimu huuSidhani kama ana goli 3 pale Tottenham huyu dogo aafu analeta kidomo wakati kipenga cha mwisho badoooo....
Jota magoli amepona.
YNWA
Its not over until its over.
Vvd is finished yaani![]()
![]()
VVD doing music dance live.
Bila Klopp kusajili beki wawili we are doomed Doc.
YNWA
Where does he get the gut to celebrate vile jamani.... They paid £60m na goili moja... Well i would say Nunez is still a proper bargain.Lile ndio goli lake la kwanza epl msimu huu
Kadogo ka simbe Sana kale
So they say VVD played over 58 club games last season having come from long injury that was a bad idea put international games, world cup nk.. Seems the burn out has catch up the bad times.Vvd is finished yaani
Labda tusubirie msimu ujao labda Ata man up his game
Yaani Conte alwaambia ukweli wale wachezaji wa Tottenham hotspur wamezoea kucheza bila pressure yaani they don't fight for anythingWhere does he get the gut to celebrate vile jamani.... They paid £60m na goili moja... Well i would say Nunez is still a proper bargain.
Levy muda wake wa kuachia ngazi umefika they are heading back ward.
YNWA
Yes he is tired Ana style yake ya kukaba anabinua makalio Sasa hiviSo they say VVD played over 58 club games last season having come from long injury that was a bad idea put international games, world cup nk.. Seems the burn out has catch up the bad times.
YNWA
Akanji was bought for few chums.. Ina maana hata Diaz au Laporte wakiumia Pep pale nyuma yupo covered.... Klopp anatuangusha sana haya mambo ya small squad ni usani mtupu. Am at peace kukosa big 4 ili Klopp na ma Yankees wapate elimu the hard way.... Sasa sio tena big 4 war imekua big 7 kwa sababu Newcastle, Brighton na Aston Villa wamepata walimu wazuri sana hivyo hata next season mambo yatakua magumu sana. Yaaani FSG wakakope Klopp apewe mpunga wa maaana anunueVvd is finished yaani
Labda tusubirie msimu ujao labda Ata man up his game
Shida moja ya klopp ni kutengeneza loyalty na wachezajiAkanji was bought for few chums.. Ina maana hata Diaz au Laporte wakiumia Pep pale nyuma yupo covered.... Klopp anatuangusha sana haya mambo ya small squad ni usani mtupu. Am at peace kukosa big 4 ili Klopp na ma Yankees wapate elimu the hard way.... Sasa sio tena big 4 war imekua big 7 kwa sababu Newcastle, Brighton na Aston Villa wamepata walimu wazuri sana hivyo hata next season mambo yatakua magumu sana. Yaaani FSG wakakope Klopp apewe mpunga wa maaana anunue
YNWA
Your players needs to be submissive full stopAkanji was bought for few chums.. Ina maana hata Diaz au Laporte wakiumia Pep pale nyuma yupo covered.... Klopp anatuangusha sana haya mambo ya small squad ni usani mtupu. Am at peace kukosa big 4 ili Klopp na ma Yankees wapate elimu the hard way.... Sasa sio tena big 4 war imekua big 7 kwa sababu Newcastle, Brighton na Aston Villa wamepata walimu wazuri sana hivyo hata next season mambo yatakua magumu sana. Yaaani FSG wakakope Klopp apewe mpunga wa maaana anunue
YNWA
Na ni zamu ya kujazia midfield pale na CB angalau mmoja wa kum-challenge VVD kule mbele hakuna tabu. Kuuza baadhi ya Flop MF itabidi ihusikeAkanji was bought for few chums.. Ina maana hata Diaz au Laporte wakiumia Pep pale nyuma yupo covered.... Klopp anatuangusha sana haya mambo ya small squad ni usani mtupu. Am at peace kukosa big 4 ili Klopp na ma Yankees wapate elimu the hard way.... Sasa sio tena big 4 war imekua big 7 kwa sababu Newcastle, Brighton na Aston Villa wamepata walimu wazuri sana hivyo hata next season mambo yatakua magumu sana. Yaaani FSG wakakope Klopp apewe mpunga wa maaana anunue
YNWA
Hopefully Klopp atafanya hivyo itakua jambo njema... Next season ushindani utakua mkali zaidi Newcastle, Brighton, Arsenal, Manchester City, Chelsea na Manchester United wote hao wataitaka big 4 kwa namna yoyote ile.Na ni zamu ya kujazia midfield pale na CB angalau mmoja wa kum-challenge VVD kule mbele hakuna tabu. Kuuza baadhi ya Flop MF itabidi ihusike
We are doomed yaaaaani imagine unategemea sub ya kuleta mbinu mpya pale kati kati unaona anaeingia ni Henderson au Milner 😂😂tazama kule kwa Kipara anatoka Bernardo anaingia KDB au anatoka anatoka Grealish anaingia Foden khaa... Klopp ameyataka mwenyewe na trust me kama hawa FSG hawakopi kuleta usajili basi hata big 6 msimu ujao tutaisaka na tochi.Your players needs to be submissive full stop
wakuone wewe kama ka mungu ka dogo wakuogope yaani na hizi jeuri zinawezekana kama ukiwa na kikosi kipana tu
Kwenye demanding simply the best basi Pep is the best hanaga aibu ya mdomo kumponda mchezaji hata awe nani yeye hua anaongea his mind.. Alisema the other Walker hana nafasi kuingia kikosi cha kwanza kwa namna wanavyocheza unless ajitume sana mazoezini na baada ya wiki hivi Walker akawa amejifua na kuacha mazoea na sasa anaanza mech ya pili au tatu mfululizo... Klopp ni super loyalty na too much loyalty anakua weak to point here n there ama kum bench mchezaji kwa sababu uwanjani anatupa below performance kwa mfano VVD ingekua kwa Kipara wala namba hana... Pep is brutal and his methods has delivered time n time again... Klopp method are built on sand mvua ikinyesha tunayeyuka maana hata Kipara wawe na msimu mbaya vipi hawakosi Champions league lakini kwa Klopp mambo yamekua ni tofauti kwa mara ya tatu tangu atue tunaisaka big 4 kwa hali na mali na twice tumepata na this time tunakosa haya yote ikiwa ni usajili hafifu umechangia.Shida moja ya klopp ni kutengeneza loyalty na wachezaji
Klopp kafanya liverpool kama Familia, which is good at one side lakini kwa side nyingine watu wakizingua wanaona fresh tu mshua bado atatupanga
Ni kama mimi ofisini kwangu wafanyakazi wangu wanizoee in a way hawaoni hata shida kuzingua kwenye kazi nb usela Mavi mwingi
That's what is happening to klopp and his boys kwanza wanaona kabisa hapa nikizngua Nani ananiweka bench refer to vvd au matip kipindi kile konate kaumia lots of stupid mindsets out there
Wewe mwangalie pep hadi kdb anawekwa benchi, Ruben dias kaleta utoto mwingi sana kawekwa benchi mechi nyingi Sana kabla ya hizi mechi za siku za karibuni
Juzi man city anashinda goal la kwanza pep anamfuata kipa anamzingua lile goal lilipatikana lakini kipa alifanya makosa man city always wana build their goals around gundogan playing short passes etc kipa alifanya kosa sababu goal lilipatikana after arsenal players Wali over load na wangeleta madhara
Huwezi Ona klopp anamfuata mchezaji Anam mind no never
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂 😂 VVD doing music dance live.
Bila Klopp kusajili beki wawili we are doomed Doc.
YNWA
Glazer hawana shida huwa wanatoa pesa ispokuwa jasusi la Dutch government ndio halijui kusajiri![]()
![]()
![]()
![]()
Milner niliona jana wanayapanga... No wonder msimu huu Milner lazima aidha aanze au apate sub... We are doomed.
In the meantime Manchester City wanawataka Khvicha na Bellinghamnext level... Pep anaweza kufika record za EPL 13 za Fergie kama FSG na Glazer watabaki kwenye hizi timu.
YNWA
Anazidiwa hadi na Hendo kuzuia
Hilo la kutoa ela kweli, idara ya usajili pale Manjesta imewaangusha sana kulipa prime fee kwa Fred, Pogba, Martial, Sancho, Maguire na Antony ni kosa la jinai kabisa maana wote hao ni super flop.Glazer hawana shida huwa wanatoa pesa ispokuwa jasusi la Dutch government ndio halijui kusajiri