Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
No
Can you tell me in brief how it was🥰
No
Kabisa
Heri Fabinho kasema
Hata machine huwa zinapumzishwa zipoe.
Wacheze tu , wakichoka wacheze vyovyote.
Nlkua msibani
But what the result
YNWA
.
️
️
️



Na tunawalaumu bureBefore last summer, yeye na Vvd waliongelea kuhusu usajili. Dhumuni “timu inahitaji usajili”
Klopp, FSG na jopo lao wakaona kam hawa hawajui kitu.
Msimu huu maneno yao yamejidhihirisha we need fresh legs with quality.





Mdogo mdogo mpka nafasi ya kushiriki uefa tunaipata
YNWA FOREVER
Hivi arsenyeto walipataje droo anfield





mlimpeleka kenya akachanje mkokaa nn

Ukongwe dawa Milner mitano tena ni kaka mkuu uwanjaniAmetuacha mbali kwa sababu wana consistency ya usajili na ishu pia wana mtadao mzuri sana wa mawakala.. Kwa mfano yule Alverez sidhani kama bei ilifika 15m na dogo ni kazi kazi na kingine Pep hang'ang'anii wachezaji wakishatumika vya kutosha anawaachilia na kuleta damu changa wenye njaa ya ushindi na hio inapadisha hadhi ya ushindani kikosini...
YNWA
FSG mitano tena msiuze mali na wala mashabiki wasiwapangie EboHawa mpaka aje mmiliki mpya au wapate mkopo waingie sokoni kimkakati ndio wataeleweka.
YNWA