NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,246
Ukiona uloa!?Nampenda Gakpo Mimi jamani waaah![]()
Ukiona uloa!?Nampenda Gakpo Mimi jamani waaah![]()
HapanaUkiona uloa!?
Toto pendwa lipo ndani
KabisaView attachment 2596356
Over to you FSG taarifa ndio hii wachezaji wale wale benchi dhaifu sana wamechoka wapo hoi....
YNWA
Other players anayemuongelea hapo ni Diaz, na mtoto wangu Gakpo😆
Naona babe wako Matip yupo kwa benchi haha Konate kampa redundancy hivi hivi.Other players anayemuongelea hapo ni Diaz, na mtoto wangu Gakpo😆
Akae tu hukohuko kunamfaa😆Naona babe wako Matip yupo kwa benchi haha Konate kampa redundancy hivi hivi.
YNWA
Ajabu eti Klopp anasema babe wako June 2023 bado yupoo ana kazi nae mpaka hapo ni ujumbe kwamba Klopp hatanunua beki dirisha lijalo.. Kwa kua wapo Matip, Konate, Gomez na VVD huku Fabinho akiwepo kucheza pale akihitajika.Akae tu hukohuko kunamfaa😆
Konate anajituma
Ila nimemiss ile mitembeo ya babe na mpira🥰,plus ile shingo😋 OMG
Ngoja nikafanye uharamiaAjabu eti Klopp anasema babe wako June 2023 bado yupoo ana kazi nae mpaka hapo ni ujumbe kwamba Klopp hatanunua beki dirisha lijalo.. Kwa kua wapo Matip, Konate, Gomez na VVD huku Fabinho akiwepo kucheza pale akihitajika.
We are doomed miss go n get ua babe there we need space to bring new boys..
YNWA
Bobby wangu😍

