Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yeyote tu ila Kipara sitaki achukue hilo kombe
Kipara ameamua mara hii zile sapraizi squad hakuna anakwenda ja kinacholeta mafanikio yale mambo ya kusaka headline na over thinking hayapo tena aisee...

He mean business this time but so do the other 3 teams hivyo mpaka sasa wapambane wenyewe sie tupate burudani aisee.

YNWA
 
Let's wait and see.
We havw seen enough of this season mate haha from going or booking Istanbul hotels in advance to saying bye bye to top 4 wow that a hard one to take but its life no whining Klopp/FSG sowing whats he/they planted, us fans we just 'collateral damage'...

YNWA
 
Walewale
Mwenzao amekuja na rekodi ya saba juu
Nasema uongo Flano ?
😂 😂 😂 😂 😂 Fergie ile timu sio tangu asepe mambo kwao yamekua hovyo sana na hapo ukumbuke ana role fulani kama consultant anasaidia....

ETG is the best shot kwao kurudi kileleni but na yeye anahitaji brake namna ya kununua maana Antony like for real hana value ya £80m na Casmiro on the other side of 30 hana value ya £60...

Yale mashindano pale uwanja wa nyumbani wa Sevila Ramon Sanchez-Pizjuan hua ni machijioni aisee...

YNWA
 
We havw seen enough of this season mate haha from going or booking Istanbul hotels in advance to saying bye bye to top 4 wow that a hard one to take but its life no whining Klopp/FSG sowing whats he/they planted, us fans we just 'collateral damage'...

YNWA
Nikikumbuka hii tambo ya hoteli huwa napatwa na huzuni sana
Nilijua jamaa anatuja kivingine sana msimu huu

Dah
Maumivu tu
 
Fergie ile timu sio tangu asepe mambo kwao yamekua hovyo sana na hapo ukumbuke ana role fulani kama consultant anasaidia....

ETG is the best shot kwao kurudi kileleni but na yeye anahitaji brake namna ya kununua maana Antony like for real hana value ya £80m na Casmiro on the other side of 30 hana value ya £60...

Yale mashindano pale uwanja wa nyumbani wa Sevila Ramon Sanchez-Pizjuan hua ni machijioni aisee...

YNWA
Yaani imekuwa timu ya hovyohovyo sana
 
Kipara ameamua mara hii zile sapraizi squad hakuna anakwenda ja kinacholeta mafanikio yale mambo ya kusaka headline na over thinking hayapo tena aisee...

He mean business this time but so do the other 3 teams hivyo mpaka sasa wapambane wenyewe sie tupate burudani aisee.

YNWA
Ngoja tuone
Ila jamaa ametuacha mbali sana
 
Hakuna haja ya usajiri mpya aliyakuwa tumekamilika pote
Kipa yupo vzr

Beki zipo VVD kisiki
Tuna Milner
Tuna Henderson mitano tena
Tuna Ox the magician

Tuna gapko na Nunuzi

Tuna salafina
Sasa usajiri wa kazi gan
We jamaa unaboa sasa
 
Tunasimama na Milner aongezewe mkataba wa maisha ✊🏾

Akiondoka klopp apewe yeye mikoba atuvushe
 
Ngoja tuone
Ila jamaa ametuacha mbali sana
Ametuacha mbali kwa sababu wana consistency ya usajili na ishu pia wana mtadao mzuri sana wa mawakala.. Kwa mfano yule Alverez sidhani kama bei ilifika 15m na dogo ni kazi kazi na kingine Pep hang'ang'anii wachezaji wakishatumika vya kutosha anawaachilia na kuleta damu changa wenye njaa ya ushindi na hio inapadisha hadhi ya ushindani kikosini...

YNWA
 
Nikikumbuka hii tambo ya hoteli huwa napatwa na huzuni sana
Nilijua jamaa anatuja kivingine sana msimu huu

Dah
Maumivu tu
Sijui huko mazoezini hua hawa wazee wanampa nini Klopp na wakija mchezoni hatukioni kabisa kwa sababu tangu ile fainali ya Champions League ilionekana tumepwaya sana pale kati kati na panahitaji uwekezaji dhabiti.. Haya Klopp mpaka akaongea na Tchouameni dogo akachagua Real Madrid na Klopp akaingia mitini akituaminisha na spinning za mtadaoni kwamba tusubiri msimu mmoja aje kumpata Bellingham na tutakua sorted kwa miaka 10 ijayo sasa yamewakuta kwa sababu pale kati hapahitajiki mchezaji mmoja mbali wawili au watatu ili pakae sawa na mpaka hapo tukawa hatupo kwenye mbio za Bellingham tena na vile vile tiketi huo ubavu wa Istanbul hatuna kabisa kwa sasa labdda twende pre season 😂

YNWA
 
Sijui huko mazoezini hua hawa wazee wanampa nini Klopp na wakija mchezoni hatukioni kabisa kwa sababu tangu ile fainali ya Champions League ilionekana tumepwaya sana pale kati kati na panahitaji uwekezaji dhabiti.. Haya Klopp mpaka akaongea na Tchouameni dogo akachagua Real Madrid na Klopp akaingia mitini akituaminisha na spinning za mtadaoni kwamba tusubiri msimu mmoja aje kumpata Bellingham na tutakua sorted kwa miaka 10 ijayo sasa yamewakuta kwa sababu pale kati hapahitajiki mchezaji mmoja mbali wawili au watatu ili pakae sawa na mpaka hapo tukawa hatupo kwenye mbio za Bellingham tena na vile vile tiketi huo ubavu wa Istanbul hatuna kabisa kwa sasa labdda twende pre season

YNWA
Uchawi upo.

Nasubiri mualiko Bobby
Eid hii nakula ugali kweli !

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ametuacha mbali kwa sababu wana consistency ya usajili na ishu pia wana mtadao mzuri sana wa mawakala.. Kwa mfano yule Alverez sidhani kama bei ilifika 15m na dogo ni kazi kazi na kingine Pep hang'ang'anii wachezaji wakishatumika vya kutosha anawaachilia na kuleta damu changa wenye njaa ya ushindi na hio inapadisha hadhi ya ushindani kikosini...

YNWA
Sisi hadi leo tuna akina Hendo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom