The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Jamaa anaona uchache ni sifa
Anakera![]()
Bwana wee…!!! Mjerumani yule anajua kukera. Ila akiamua kuwapa Furaha anawapa kweli.
Last season kuna muda ilikuwa full raha ukiliangalia bench unapata hamu tu mechi iendele.
Klopp anafanya sub moja anaingia mkolombia Lucho mwenyewe vs Villareal tukiwa 2 down. Tunapiga kamback ya maana sana.
Depth ni raha inakupa faida mara mbili
1. Inakupunguzia majeruhi.
2. Inapunguza uchovu kwa wachezaji.
?? Very joyful to watch them. Go and watch 
#LFC