Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! Anaboa sana huwezi mbakiza Milner, Hendo na Matip wote hao walitakiwa kuondoka, dirisha la usajili likifunguliwa unaweza shangaa klopp akasajili Midfielder mmoja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akitegemea kuwa usajili wa Milner na Hendo unatosha kwa kuwaongezea mikataba mipya na hawa wachezaji sijui wana kitu gani special [emoji23]
Ni wajukuu wa Malkia.
Jana LiMilner linaingizwa
Ili mradi ionekane tu kuwa naye ameshiriki kwenye yale magoli.
 
Kweli leo mmemuamulia baba wa watu

Pamoja na kushinda kwa kishindo jana ila bado mmemshikilia jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nunez total nadhani atakua na 15 sasa. Msimu wake wa kwanza Liverpool na msimu wake wa kwanza Benfica (alifunga 14 hivi) hauna tofauti kufunga magoli.. Alivyohojiwa alisema msimu ujao ndio tusubiri tuone ukali..msimu wake wa pili Benfica alifunga 34

In Nunez i trust.

YNWA
Jamaa Yuko faster Sana kuelekea langoni kwa wapinzani japo Hana bahati kivile kwenye shabaha ila ni hatari Sana. Wachambuzi na mashabiki uchwara wanambeza Tu sababu wanalitegemea pakubwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawana uspecio wowote mbali Klopp ni muoga wa maamuzi magumu wakati sahihi.

Kama wiki hivi Pep wakati anahojiwa alisema kwa mfumo wa sasa Kyle Walker hawezi kupata spot 1st 11 kwa kua wanacheza mfumo ambao ha fit kabisa... Hua napenda sana ku compare Manchester City na Liverpool maana wale ndio washindane wetu tangu ametua Klopp.... Inaonyesha kwamba sii ubora wa mchezaji mbali ni ana offer uwanjani kinachoangaliwa.. Sasa Milner na Henderson wana maajabu yapi mpaka sasa wanapata dakika kwa kweli ni Klopp tu anajua...

YNWA
Wanafaa kuwa Sub sio kuanza Ila Wana impact kidogo hasa kutuliza mashambulizi kipindi tumetangulia kimatokeo.
 
Tutapiga wachakae…!!!
Kina Molde sijui Basel, Sporting CP…!!

Klopp mbishi haswa jeuri mno.

Kwanza wanaomaliza mkataba hata asijiumize kichwa. WAONDOKE.

Arudi apambane na wenye mikataba ila hawana cha kuoffer tena wauzwe au mkopo.

Kisha arudi alete watu wa kazi,. Tena ajue depth with quality ina raha sana.

YNWA
Pia inategemea...kuleta wachezaji wengi wageni kwenye mfumo au ligi Mpya tena kwa mkupuo mmoja ni changamoto itawahitaji mda mpaka wanate na biti kumbuka kilichowatokea Fulham kipindi wanashuka daraja kabla ya kupanda Msimu uliopita
 
Jamaa Yuko faster Sana kuelekea langoni kwa wapinzani japo Hana bahati kivile kwenye shabaha ila ni hatari Sana. Wachambuzi na mashabiki uchwara wanambeza Tu sababu wanalitegemea pakubwa
Klopp alishasema with Nunez its all good na hilo linatosha kabisa. Msimu huu kwake tangu ile kadi nyekudu vs Crystal Palace ilim mvuruga lakini anafanya yote mazuri kasoro kufunga tu ndio stat zake zinaonyesha yupo kwenye nafasi ya 90+ Europe kwenye converting ratio sasa Klopp kazi kwake dogo aanze kuleta magoli

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom