Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pia inategemea...kuleta wachezaji wengi wageni kwenye mfumo au ligi Mpya tena kwa mkupuo mmoja ni changamoto itawahitaji mda mpaka wanate na biti kumbuka kilichowatokea Fulham kipindi wanashuka daraja kabla ya kupanda Msimu uliopita

Wameyataka wenyewe FSG na Klopp. Ki uhalisia kikosi kinahitaji watu wengi sijui watatumia mbinu gani ni juu yao.

Ila mpira una maajabu yake, Ole alimsajili Bruno January 2020, akabadili upepo wao kabisaaa wakasha moto. Hivyo twaweza kusajili 2-3 na timu ikabata balance nzuri na baadhi ya deadwoods wakashine sana.

Naamini bado kwa Klopp na jopo lake coming season tutafanya vizuri sana. Kuwa na Klopp ni faida kubwa sana hata timu ikifanya vibaya. Ni rahisi quality player kusign LFC under Klopp iliyomaliza nafasi ya nane kuliko Newcastle or Spurs aliyemaliza top four.

YNWA
 
Klopp alishasema with Nunez its all good na hilo linatosha kabisa. Msimu huu kwake tangu ile kadi nyekudu vs Crystal Palace ilim mvuruga lakini anafanya yote mazuri kasoro kufunga tu ndio stat zake zinaonyesha yupo kwenye nafasi ya 90+ Europe kwenye converting ratio sasa Klopp kazi kwake dogo aanze kuleta magoli

YNWA

Converting chances into goals ndipo pamebaki.
Nunez 1v1 inamtesa sana, Clear chances alizokosa kama angefunguka angekua na 20+ EPL goals hizi ni nafasi za waaaaaaazi kabisa.

Naamini Klopp atampika na atakaa sawa.
YNWA
 
Unamanisha Henderson na Milner au.

YNWA
Yes Mkuu...hao wazee wawe wa kumalizia dakika Tu huku wakingojea kustaafu..ila huyu keita na ox wauzwe ili waje wengine wawili wawe regular starter huku TAA akisogea kiungo ya kupanda halaf Gomez awe Kulia kule bila kusahau Ramsey anakuwa Super Sub
 
Klopp alishasema with Nunez its all good na hilo linatosha kabisa. Msimu huu kwake tangu ile kadi nyekudu vs Crystal Palace ilim mvuruga lakini anafanya yote mazuri kasoro kufunga tu ndio stat zake zinaonyesha yupo kwenye nafasi ya 90+ Europe kwenye converting ratio sasa Klopp kazi kwake dogo aanze kuleta magoli

YNWA
Nunez msimu ujao atakua hatari Sana

Msimu ujao kama tutasahili kiungo sahihi watu watatukimbia ndugu yangu

Mimi nawatamani Brighton yaani nataka tuwafunge wale watoto mpaka watoe machozi kama tulivyolipa kwa man u na vile vitoto vya leeds vikina summervile

Next season I will look all the matches without skipping a single minute
 
Yes Mkuu...hao wazee wawe wa kumalizia dakika Tu huku wakingojea kustaafu..ila huyu keita na ox wauzwe ili waje wengine wawili wawe regular starter huku TAA akisogea kiungo ya kupanda halaf Gomez awe Kulia kule bila kusahau Ramsey anakuwa Super Sub
Mkuu Kieta na Ox wanaodoka bure kata klabu kupata mia... Kama alivyoodoka Emre, Gini, Origi, Lallana nk ndio na hawa Firmino, Ox na Kieta wanasepa bure na hii ni biashara mbaya kwetu

YNWA
 
Mkuu Kieta na Ox wanaodoka bure kata klabu kupata mia... Kama alivyoodoka Emre, Gini, Origi, Lallana nk ndio na hawa Firmino, Ox na Kieta wanasepa bure na hii ni biashara mbaya kwetu

YNWA
Kweli kabisa ni business ya kiwaki Sana ...sema Firmino tumemtumia mpaka last drop waache wakammalizie huko Ila kiukweli huduma aliyokuwa anaitoa pale mbele ni extraordinary
 
Kweli kabisa ni business ya kiwaki Sana ...sema Firmino tumemtumia mpaka last drop waache wakammalizie huko Ila kiukweli huduma aliyokuwa anaitoa pale mbele ni extraordinary
Hivi kwa sasa pale Liverpool nani apewe mikomba ya Firmino, je Jota au Gapko..

Dogo Bobby alikua injini ya Klopp... Klopp kuna wakati alisema... Firmino is the system...

YNWA
 
Hivi kwa sasa pale Liverpool nani apewe mikomba ya Firmino, je Jota au Gapko..

Dogo Bobby alikua injini ya Klopp... Klopp kuna wakati alisema... Firmino is the system...

YNWA
Gakpo kwa nnavyomwona sio selfish anaweza kuwa mbadala japo kwa asilimia kadhaa. Klopp atafute mfumo Nunez acheze mbele Gakpo kwa nyuma alafu kushoto kuwe na pilipili Diaz...Jota aanzie bechi Kulia Ostadh
 
Diaz ni mridhi wa Mane, Nunez akismama kati nyuma yake inawezekana akacheza Jota au Gakpo wote wana huo uwezo na Klopp yupo trial mode kwa hizi mechi mbili za mwisho baada ya kuona hana cha kupoteza ameamua pre season ianze sasa. Kulia Salah ana hati miliki napo na kwa hua ana deliver ni sawa tu...

YNWA
 
Mimi ntaenda pale anfield na Bango la kizungu na la kiswahili

FSG out

Kiswahili FSG nje wasimbe nyie
Ntahakikisha mnaona hilo
😂 😂 😂 FSG are clueless... They let 2 magical chances pass hivi hivi.. Baada ya kuchukua Champions League na baada ya kuchukua EPL, huo ulikua muda sasa kuwekeza tena kikosi kwa mipango dhabiti na kununua kimkakati matokeo yake wao wakaanza kugawa mikataba kwa akina Milner left and right sasa limewakuta hawana kujificha kwa kua hakuna majibu ya kutoka ndani bila kuingia sokoni hakuna kingine...

Liverpool have outgrown FSG.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom