😂 😂 😂 😂 Huna haja ya kuamini muangalie match day kwa msimu kama anafika mechi 25 akiwa 1st 11Na Ile body yake
Siamini kabisa kama jamaa mlaini hivi
Niachieni Joel wangu😂 😂 😂 😂 Huna haja ya kuamini muangalie match day kwa msimu kama anafika mechi 25 akiwa 1st 11
YNWA
Hao madogo wa Europa waombe tu tusiende huko wataumia vibaya Sana
Apewe mkataba wa maishaJota wa moto leo[emoji119][emoji91]
Dah! Anaboa sana huwezi mbakiza Milner, Hendo na Matip wote hao walitakiwa kuondoka, dirisha la usajili likifunguliwa unaweza shangaa klopp akasajili Midfielder mmoja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akitegemea kuwa usajili wa Milner na Hendo unatosha kwa kuwaongezea mikataba mipya na hawa wachezaji sijui wana kitu gani special [emoji23]Huyu babu anaboa sana unavyosikia eti Matip anabaki kikosini na Milner pia na Henderson pia like serious wa nini hao sasa.
YNWA
Kumbe kanalengesha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39]My boy Gakpo[emoji7][emoji39]
Ni kahandsome haka katoto,halafu kanajua mpira..
Tena kanalengesha golini[emoji108]
😂 😂 😂 😂 😂 Hawana uspecio wowote mbali Klopp ni muoga wa maamuzi magumu wakati sahihi.Dah! Anaboa sana huwezi mbakiza Milner, Hendo na Matip wote hao walitakiwa kuondoka, dirisha la usajili likifunguliwa unaweza shangaa klopp akasajili Midfielder mmoja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akitegemea kuwa usajili wa Milner na Hendo unatosha kwa kuwaongezea mikataba mipya na hawa wachezaji sijui wana kitu gani special [emoji23]
Nunez total nadhani atakua na 15 sasa. Msimu wake wa kwanza Liverpool na msimu wake wa kwanza Benfica (alifunga 14 hivi) hauna tofauti kufunga magoli.. Alivyohojiwa alisema msimu ujao ndio tusubiri tuone ukali..msimu wake wa pili Benfica alifunga 34Nunez 8 goals
Havetz 7 goals
Gapko 4 goals
Felix 2 goals
Baada ya kumkosa Bellingham tuna usajili mpya MF pale kati kulia dogo Trent A A... Jana 'kagusa' mpira mara 156 upande wa Leeds na hii mostly likely inaweza kua rekodi kwa msimu huu EPL. Huyu sasa anaanza kua mwananfunzi bora wa KDB.Klopp hua mbishi sana…!!!
Mpaka wamnyofoe nyofoe kucha ndipo akili ifunguke.
Klopp kwa upande wa TAA kucheza beki akubali amefeli kwa sasa. Na imemgharimu pakubwa tu.
Weka TAA acheze kiungo hapo atakupa vingi sana.
Kwa mara ya kwanza baada ya kitambo kwenye mechi mbili mfululizo tuna assists kutoka kwa viungo.
Game vs Arsenal Hendo.
Game vs Leeds Hendo ([emoji28] lekapiteno) Jones & TAA (as inverted Mf)…!!!
Klopp shikilia hapo tumalize in style, japo umetukausha damu na kutuharibu viungo vya uzazi msimu huu…!!’
Hivyo basi hakuna haja ya usajiri mpyaBaada ya kumkosa Bellingham tuna usajili mpya MF pale kati kulia dogo Trent A A... Jana 'kagusa' mpira mara 156 upande wa Leeds na hii mostly likely inaweza kua rekodi kwa msimu huu EPL. Huyu sasa anaanza kua mwananfunzi bora wa KDB.
YNWA
Asepe zake tushachoka kuchekwa sie.Niachieni Joel wangu