BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 365
- 850
2-0
karibu chama la wana LiverChuma hiko cha 2
THIS IS LIVERPOOL [emoji3532][emoji3532][emoji3532][emoji3532]
Hvi arsenyeto walipataje droo aisee
YNWA FOREVER [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Dogo anaenda na upepo.karibu chama la wana Liver
Kama hadi wewe uvumilivu umekushinda kweli tuna hali mbaya🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Ebu tafuta rekodi yetu ya ugenini msimu huu utatoa macho haswaaa 😂😂😂
Tumefungwa sana ujue hili jambo sio powaa
YNWA
Wivu tuu
Namkubali mnoo, anakaa na Mali huchukui mpira kirahis kwake.Gakpo sio mbinafsi. Anagawa upendo naona zaidi ya matano hapa