Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tungemchukua huyu jamaa ingekua poa sana akave nafasi ya TAA ili TAA aende position ya Midfielder
Screenshot_20230420-060426.jpg
 
Naona kila dalili kuwa Pep Guardiola ataandika Historia Msimu huu wa kuwa Bingwa wa EPL (90%), UCL (60%), SUPERCUP (80%) na CLUB WORLD CUP (90%) akiwa na Man City.

Sasa rasmi Man City inaenda kuingia kwenye kundi la Timu kubwa 👏👏👏
 
Naona kila dalili kuwa Pep Guardiola ataandika Historia Msimu huu wa kuwa Bingwa wa EPL (90%), UCL (60%), SUPERCUP (80%) na CLUB WORLD CUP (90%) akiwa na Man City.

Sasa rasmi Man City inaenda kuingia kwenye kundi la Timu kubwa [emoji122][emoji122][emoji122]
Hata sisi kama tukiwatumia vizuri
Milner Ox, VVD na Henderson mwakani tutabeba makombe yote
 
Naona kila dalili kuwa Pep Guardiola ataandika Historia Msimu huu wa kuwa Bingwa wa EPL (90%), UCL (60%), SUPERCUP (80%) na CLUB WORLD CUP (90%) akiwa na Man City.

Sasa rasmi Man City inaenda kuingia kwenye kundi la Timu kubwa [emoji122][emoji122][emoji122]
Real hizi hatua City hatoboi....na ndo kombe Madrid atalojivunia Msimu huu maana laliga alishapoteana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom