Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
😂 😂 😂 26 yrs aje tu ndugu maana Khvicha ni ishu bei yake inatajwa over £90m sasa bora tutue kwa huyu Mbrazil Pepe mapema.kawaida sana mkuu , labda aje bei ya minamino.
YNWA
😂 😂 😂 26 yrs aje tu ndugu maana Khvicha ni ishu bei yake inatajwa over £90m sasa bora tutue kwa huyu Mbrazil Pepe mapema.kawaida sana mkuu , labda aje bei ya minamino.
Hivi kweli unaweza aje kununua wachezaji wawili wagonjwa ndani ya kikosi kwa miaka 6 yaaani Thiago na Keita.... Hawa ndio wametufikisha tulipo na si kingine ni luxury kua nao kikosini hawa maana walitegemewa kuleta spark kwa ma workaholic Henderson na Milner lakini imekua vice versa....Binafsi nafurahi kuikosa hiyo uefa, watapata hasara ambayo itawafungua akili ya biashara ya mpira inavyopelekwa na sio kusubiri maajabu.
But atleast Europe au conference ili tuwe na mechi nyingi…!!! Naamini hata bila CL Klopp ana mvuto wa kupata good signings
YNWA
Next season might be Klopp last season at Liverpool, kama ataeledelea kung'ang'ania hawa wazee wake na mfumo wa 4 3 3 high line trust me hata hao wasajili wapya hawamuokoa kwa sababu Klopp ana kawaida ya kutowaamini new comers mpaka baadae sana kumbuka ya Fabinho alivyotua alisugua benchi haswa mpaka tukasahau kama yupo... Kwenye mpira early impression means everything aisee hivyo kama Klopp hatakua ruthless haswa kuhakiksha kila mchezaji anapata dakika kwa ubora wa output yake uwanjani sio bla bla za mhamashishaji basi Klopp anafukuzwa kazi mapema sana 2024...Sure still the best.
I used to say his seven year curse will at Liverpool as his Final curse ended at Liverpool.
Toward our todays match vs Leeds, Klopp said we have nothing to lose this season. We will give all what we have until the end of the season.
Akaulizwa kimetokea nini toka mshinde 7 kwa utd, simple answer from him (consistency) and there were things didnt work properly.
Manchester City can buy anyone haha they have the best well paid lawyers to navigate the FFP...Ni mengi.
Kwa sasa article itakayoihusu Liverpool inafuatiliwa na wengi sana na ndio biashara ilipo.
Majority wanasubiri kuona ni nini Liverpool inakwenda kufanya sokoni.
Yes ishu ya Jude nimesikia ataamua kusubiri another season, ukizingatia msimu hajawa na msimu mzuri kama msimu jana.
Liverpool kujiondoa imekua pigo kwa dortmund maana ndio waliongoza race ya kumtaka.
Madrid na english players hawapo kabsaa hawana historia nao, sioni perez akishawishika kwa Jude. Sana sana City Chelsea na utd. Chelsea atabanwa na FFP, City anasubiri ile kesi yake itaamuliwa adhabu gani..!!! Utd (ETH) hawajavutiwa na Jude. Tuone nini kitaendelea.
Kama utd na city watamuwania basi ujue itafika £150m na mshahara usiopungua £350k.
FSG kununua sio issue kwao, ila mshahara ndio concern kubwa sana mabosi wale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji599] EXCLUSIVE [emoji599]
Liverpool's Joel Matip remains appreciated by Jurgen Klopp and could STAY this summer [emoji837]
PLUS the latest on LFC links with Alexis Mac Allister and Ryan Gravenberch [emoji102]
Full story - Link in Comments [emoji116][emoji116]
Leo unamchana Baba yako bila mbambamba [emoji23]Next season might be Klopp last season at Liverpool, kama ataeledelea kung'ang'ania hawa wazee wake na mfumo wa 4 3 3 high line trust me hata hao wasajili wapya hawamuokoa kwa sababu Klopp ana kawaida ya kutowaamini new comers mpaka baadae sana kumbuka ya Fabinho alivyotua alisugua benchi haswa mpaka tukasahau kama yupo... Kwenye mpira early impression means everything aisee hivyo kama Klopp hatakua ruthless haswa kuhakiksha kila mchezaji anapata dakika kwa ubora wa output yake uwanjani sio bla bla za mhamashishaji basi Klopp anafukuzwa kazi mapema sana 2024...
Klopp is modern day Bill Shankly kwa fans he is like a god father of the club but just like Shankly kung'ang'ania wachezaji past thier prime will make him past tense at Liverpool... Shankly won very much with his boys they became men na bado akawa anakomaa nao kumbe they were past their prime in fact they could walk through the brick for Shankly and he resisted calls to be brutal and remained loyal kwa wachezaji wake and mwishowe he had to walk in come Bob Paisley the most dominant manger in Liverpool history hivyo Klopp asipokua makini atatembea tu hakuna namna he either change his vision regarding senior players game time or he has to walk.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie semeni yoooooote lakini Milner mitano huwa anaisaidia timu kwa maombi akiwa uwanjani
Wachezaji hawa kuwepo Liverpool ni kwa matakwa ya mwalimu lakini sio kwa juhudi zao uwanjani[emoji599] EXCLUSIVE [emoji599]
Liverpool's Joel Matip remains appreciated by Jurgen Klopp and could STAY this summer [emoji837]
PLUS the latest on LFC links with Alexis Mac Allister and Ryan Gravenberch [emoji102]
Full story - Link in Comments [emoji116][emoji116]
Leo umemsagia klopp kunguniNext season might be Klopp last season at Liverpool, kama ataeledelea kung'ang'ania hawa wazee wake na mfumo wa 4 3 3 high line trust me hata hao wasajili wapya hawamuokoa kwa sababu Klopp ana kawaida ya kutowaamini new comers mpaka baadae sana kumbuka ya Fabinho alivyotua alisugua benchi haswa mpaka tukasahau kama yupo... Kwenye mpira early impression means everything aisee hivyo kama Klopp hatakua ruthless haswa kuhakiksha kila mchezaji anapata dakika kwa ubora wa output yake uwanjani sio bla bla za mhamashishaji basi Klopp anafukuzwa kazi mapema sana 2024...
Klopp is modern day Bill Shankly kwa fans he is like a god father of the club but just like Shankly kung'ang'ania wachezaji past thier prime will make him past tense at Liverpool... Shankly won very much with his boys they became men na bado akawa anakomaa nao kumbe they were past their prime in fact they could walk through the brick for Shankly and he resisted calls to be brutal and remained loyal kwa wachezaji wake and mwishowe he had to walk in come Bob Paisley the most dominant manger in Liverpool history hivyo Klopp asipokua makini atatembea tu hakuna namna he either change his vision regarding senior players game time or he has to walk.
YNWA
Huyu babu anaboa sana unavyosikia eti Matip anabaki kikosini na Milner pia na Henderson pia like serious wa nini hao sasa.Leo umemsagia klopp kunguni
Klopp kibarua kimemshinda aisee yaani tutabakia na Matip pancha na Milner babu tena msimu ujao like serious.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bobby where are you?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama nakuona unavyotaka kupasuka
Captain Marvelous
Alishachelewa kuwaacha sasa kuwaacha wote kwa msimu mmoja itakua ngumuHuyu babu anaboa sana unavyosikia eti Matip anabaki kikosini na Milner pia na Henderson pia like serious wa nini hao sasa.
YNWA
Ni wewe kweli?? 😂😂😂Huyu babu anaboa sana unavyosikia eti Matip anabaki kikosini na Milner pia na Henderson pia like serious wa nini hao sasa.Klopp kibarua kimemshinda aisee yaani tutabakia na Matip pancha na Milner babu tena msimu ujao like serious.
YNWA
YNWA