The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,509
Already the indicators are painting a very slim future.
Will FSG abadon thier weird approach in recruitment strategy mh not really convinced...
Payroll will be relieved once they let go
Ox 120k
Matip 100k
Kieta 120k
Milner 120k
Adrian 58k
Firmino 180k
Kelleher 10k
Total £708,000.
£708,000 kwa wages ni mpunga mrefu sana unakua pending hao wachezaji wakisepa. Hapa sasa Klopp akitua Ureno, Italy, Ujeremani, Uhispania nk kasoro Uingereza high table teams anapata kabisa wachezaji wa wages za wastani chini ya 150k na ambao wanakuja kuimarisha kikosi.
YNWA
Klopp amesema wana shortlist ya 12 players bado scouts wapo kazini. Hivyo wataona nani anafaa kwa ajili ya msimu ujao.
Kuhusu Jude amelijibu vyema tayari, hata mimi namuunga mkono yasijetukuta ya Sancho.
Huko Ureno/Italy/Spain wanaweza pata CAM wa maana bei nzuri na mshahara mzuri na quality nzuri