Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp atakua alivuta bangi kwanza kabla ya kumsajili
Nakumbaliana na wewe ndugu... Haya mambo ndio yamewachosha Edwards na Julian Ward na kuamua kusepa zao kwa kua wanaona maoni yao hayapewi kipaumbele.
Klopp alitonywa mapema sana kuhusu Enzo Fernadez akiwa Argentina kwao tena kwa bei powa kabisa chini ya 💶 20 lakini klabu ikasema aachwe kwanza azoee mishe za Ulaya ndani ya miezi 6 dogo bei ikaripuka Klopp akajafanya kuwaomba Benfica wasimuuze sasa mpaka June 2023 haha akaambiwa toa ela acha maneno...

Huyu Melo alikuja September 2 hivi baada ya kuumia Henderson ndio wakaona hali ishakua tete na ni dhahiri kwamba haraka haraka haina baraka.

YNWA
 
Na wanakoelekea ni hatari zaidi[emoji38]
Wanataka wabadilishe tena kocha
Hata mechi 5 hajafikisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Twende kanisani Bobby.
😂 😂 😂 😂 Laana ya Mrusi inawatafuna aisee.

Wakaongee nae yaishe vinginevyo hii itaedelea tu 😂😂atakua katuma majini pale si bure.

Asante pray for Liverpool.

YNWA
 
Nakumbaliana na wewe ndugu... Haya mambo ndio yamewachosha Edwards na Julian Ward na kuamua kusepa zao kwa kua wanaona maoni yao hayapewi kipaumbele.
Klopp alitonywa mapema sana kuhusu Enzo Fernadez akiwa Argentina kwao tena kwa bei powa kabisa chini ya [emoji387] 20 lakini klabu ikasema aachwe kwanza azoee mishe za Ulaya ndani ya miezi 6 dogo bei ikaripuka Klopp akajafanya kuwaomba Benfica wasimuuze sasa mpaka June 2023 haha akaambiwa toa ela acha maneno...

Huyu Melo alikuja September 2 hivi baada ya kuumia Henderson ndio wakaona hali ishakua tete na ni dhahiri kwamba haraka haraka haina baraka.

YNWA
Kwahiyo unakubali kuwa baba yako anavuta bangi?[emoji23]
 
Ina maana walidhamiria kununua mgonjwa[emoji16]
Kweli bahati huwa kwa kila mtu
😂 😂 😂 😂 Japo tunawasifu sana idara ya usajili kwa kumpa Klopp kikosi safi kwa miaka 5 kwa bajeti ya kuungaunga lakini kuna sehemu zingine naona wanafeli aidha watakua wanaingiliwa kwenye maamuzi au wana upofu wakati mwingine. Kimsingi Melo na Ox hawakutakiwa watue Liverpool kamwe kwa kua mfumo wa Klopp sio weak bones sababu ya attacking aa u unit na defending as a unit meaning mwili lazima uwe over worked haswa. Case study watazame VVD ametoka jeraha la msimu mzima akaja akapiga mechi zaidi ya 60 msimu uliopita weka msimu huu na kombe la dunia humo humo aaa lazima yamkute kwa kua Liverpool defence bi dynamic high line hivyo utaona kwa nni ni muhimu kununua wachezaji kama VVD wasiokua na mili ya Indian biscuit.

YNWA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Japo tunawasifu sana idara ya usajili kwa kumpa Klopp kikosi safi kwa miaka 5 kwa bajeti ya kuungaunga lakini kuna sehemu zingine naona wanafeli aidha watakua wanaingiliwa kwenye maamuzi au wana upofu wakati mwingine. Kimsingi Melo na Ox hawakutakiwa watue Liverpool kamwe kwa kua mfumo wa Klopp sio weak bones sababu ya attacking aa u unit na defending as a unit meaning mwili lazima uwe over worked haswa. Case study watazame VVD ametoka jeraha la msimu mzima akaja akapiga mechi zaidi ya 60 msimu uliopita weka msimu huu na kombe la dunia humo humo aaa lazima yamkute kwa kua Liverpool defence bi dynamic high line hivyo utaona kwa nni ni muhimu kununua wachezaji kama VVD wasiokua na mili ya Indian biscuit.

YNWA
Kwahiyo hapa unamaanisha ndugu zetu Chamberlain na Boss Melo miili yao ni Indian biscuits tupu[emoji38]
 
Kwahiyo hapa unamaanisha ndugu zetu Chamberlain na Boss Melo miili yao ni Indian biscuits tupu[emoji38]
Hawa kua Liverpool mpaka leo ni ngumu kuelewa
Matip sorry Saint haha yes Matip
Gomez
Keita
Ox
Melo.

Iko hivi Klopp ni muumin wa kikosi kiduchu fulani meaninga lazima awe na wapambanaji haswa kila nafasi wawe wachezaji wawili ili kupata ufanisi uwanjani lakini je mara ngapi tumekosa ubingwa kwa kua waliumia hao na hakukua na mbadala haya mambo Klopp akistaafu itabid aje kufunguka tu maana ni ngumu kuelewa.

YNWA
 
😂 😂 😂 😂 Unataka yatukute ya Chelsea haha ukumbuke wao kikosi kipo kamili sie tupo sokoni kuvutia wachezaji waje tukamilike.

We need prayers comrade.

YNWA
This comment has made my morning 😆😂

Let me take a bath and go to church
I think I should wear our jersey , if God sees it then He will answer our prayers.

Tutarudi kwa kishindo kama awamu ya 5😆

Nakumbaliana na wewe ndugu... Haya mambo ndio yamewachosha Edwards na Julian Ward na kuamua kusepa zao kwa kua wanaona maoni yao hayapewi kipaumbele.
Klopp alitonywa mapema sana kuhusu Enzo Fernadez akiwa Argentina kwao tena kwa bei powa kabisa chini ya [emoji387] 20 lakini klabu ikasema aachwe kwanza azoee mishe za Ulaya ndani ya miezi 6 dogo bei ikaripuka Klopp akajafanya kuwaomba Benfica wasimuuze sasa mpaka June 2023 haha akaambiwa toa ela acha maneno...

Huyu Melo alikuja September 2 hivi baada ya kuumia Henderson ndio wakaona hali ishakua tete na ni dhahiri kwamba haraka haraka haina baraka.

YNWA
Mipango ya klopp anaijua mwenyewe, mimi aliniboa sana kipindi kile kaacha kununua mid eti wakanunua Keita kisha kumsubiri msimu mwingine tena pesa ndefu, klopp yupo tayari ku sarcifice misimu hata miwili kwa ajili ya mchezaji mmoja, thats why 1epl in 8 yrs.

Hapo alitaka apoteze misimu hata miwili kubaki na milner na henderson kwa ajili ya Enzo

Bahati mbaya ile Magic yake imeisha hata kiburi cha kushiriki UEFA kimekata sasa
 
Only 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them🙄🙄🙄.
 
Mipango ya klopp anaijua mwenyewe, mimi aliniboa sana kipindi kile kaacha kununua mid eti wakanunua Keita kisha kumsubiri msimu mwingine tena pesa ndefu, klopp yupo tayari ku sarcifice misimu hata miwili kwa ajili ya mchezaji mmoja, thats why 1epl in 8 yrs.

Hapo alitaka apoteze misimu hata miwili kubaki na milner na henderson kwa ajili ya Enzo

Bahati mbaya ile Magic yake imeisha hata kiburi cha kushiriki UEFA kimekata sasa
Ishu ya EPL moja ndani ya miaka 8 haiwezi kua justified kamwe regardless ya ubahiri wa wa wamiliki kwa kua Klopp alishajiona ni mtenda miujiza wao... Asikwambie mtu pale Manchester City kuna Director of Football bwana Txiki Begiristain huyu bwana hutokaa usikie hata ma pundits wakimtaja wao wanakomaa na Kipara Pep sifa zote kwake lakini tuseme ukweli kwa data proven huyu director ni level zingine ana network pana kwa kua alifanya kazi hio hio Barcelona kwa miaka 7 inampa pool ya taarifa ambazo chini yake sasa Manchester City wameshinda EPL mara 5 huku ukitazama hata bei za wachezaji wengi zikiwa sio kubwa ki vile na mara chace sana wamekua waking'ang'ania wachezaji wengi baada ya kutumikia klabu wameachiwa kwenda kucheza kwingine na wao kusajili upya ili ku maintain high standards.....

Sasa ndugu huku Liverpool Klopp ndio kwanza anampa Milner mkataba mwingine mpya, na ukumbuke Milner huyu huyu alitemwa Manchester City baada ya wao ku evolve kama team ila kwetu tunaona ana mchango klabuni like serious no way.

Mpaka leo kua na Henderson na Milner inaonyesha Klopp yuko weak sana mbele ya hawa senior players... Tetesi ni kwamba idara ya usajili na mikataba hawaku sapoti wachezaji wanaoelekea upande wa pili wa miaka 30 kupewa mikataba mirefu lakini hawakusikilizwa na Klopp akatoa go ahead wapewe mikataba mirefu ajabu.
Allison yupo mpaka 2027 atakua 34
Henderson mpaka 2025 atakua 34
VVD yupo mpaka 2025 atakua 33
Fabinho yupo mpaka 2026 atakua 31
Robertson mpaka 2026 atakua 34
Matip yupo mpaka 2024 atakua 32
Salah yupo mpaka 2025 atakua 32
Thiago yupo mpaka 2024 atakua 33

Hao wote ni wachezaji waadamizi ambao wakiwa wazima hakuna kukaa benchi chini ya Klopp na mpaka sasa Klopp amechemka namna bora ya kusajili ili ku maintain competitive edge kwenye ligi na mashidano mengine yeye ameishi kwa kopi na ku pasti na ndio tupo hapa wachezaji wale wale wapo clueless kabisa kwa kua wamechoka nao ni binadamu fresh and blood...

Liverpool tujifunze kutoka kwa Manchester City wanavyosajili wachezaji wao na bila shaka Klopp ataona kabisa kua hii EPL moja ni yeye amechangia.

Amekaa misimu miwili anamsaubira Bellingham haha sasa huyoo hatuwezi hizo levo kwani FSG ni simpo kama ulivuoona kwa Nunez walitoa ela kiduchu na Klopp akashindwa kusajili MF June 2022 hivyo sasa ingekua tena aje Bellingham kwa £100+ na bajeti ingekua imeishia pale pale.

YNWA
 
This comment has made my morning 😆😂

Let me take a bath and go to church
I think I should wear our jersey , if God sees it then He will answer our prayers.

Tutarudi kwa kishindo kama awamu ya 5😆

😂😂😂😂😂Kumbe na jezi unatupia kabisa haha kweli wewe ni Red army inside outside... Safiii sanaaa.

Next season kama Julian atawapata hawa wachezaji wanaotajwa basi tutakua salama.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom