Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
[emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu mzee ukiwa na hasira nae unaweza pasua TV yako ujue.
YNWA
[emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu mzee ukiwa na hasira nae unaweza pasua TV yako ujue.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe na jezi unatupia kabisa haha kweli wewe ni Red army inside outside... Safiii sanaaa.
Next season kama Julian atawapata hawa wachezaji wanaotajwa basi tutakua salama.
YNWA
Matip wangu mtoe jamani [emoji23]Hawa kua Liverpool mpaka leo ni ngumu kuelewa
Matip sorry Saint haha yes Matip
Gomez
Keita
Ox
Melo.
Iko hivi Klopp ni muumin wa kikosi kiduchu fulani meaninga lazima awe na wapambanaji haswa kila nafasi wawe wachezaji wawili ili kupata ufanisi uwanjani lakini je mara ngapi tumekosa ubingwa kwa kua waliumia hao na hakukua na mbadala haya mambo Klopp akistaafu itabid aje kufunguka tu maana ni ngumu kuelewa.
YNWA
Hii timu inawajari wakongwe wakeIshu ya EPL moja ndani ya miaka 8 haiwezi kua justified kamwe regardless ya ubahiri wa wa wamiliki kwa kua Klopp alishajiona ni mtenda miujiza wao... Asikwambie mtu pale Manchester City kuna Director of Football bwana Txiki Begiristain huyu bwana hutokaa usikie hata ma pundits wakimtaja wao wanakomaa na Kipara Pep sifa zote kwake lakini tuseme ukweli kwa data proven huyu director ni level zingine ana network pana kwa kua alifanya kazi hio hio Barcelona kwa miaka 7 inampa pool ya taarifa ambazo chini yake sasa Manchester City wameshinda EPL mara 5 huku ukitazama hata bei za wachezaji wengi zikiwa sio kubwa ki vile na mara chace sana wamekua waking'ang'ania wachezaji wengi baada ya kutumikia klabu wameachiwa kwenda kucheza kwingine na wao kusajili upya ili ku maintain high standards.....
Sasa ndugu huku Liverpool Klopp ndio kwanza anampa Milner mkataba mwingine mpya, na ukumbuke Milner huyu huyu alitemwa Manchester City baada ya wao ku evolve kama team ila kwetu tunaona ana mchango klabuni like serious no way.
Mpaka leo kua na Henderson na Milner inaonyesha Klopp yuko weak sana mbele ya hawa senior players... Tetesi ni kwamba idara ya usajili na mikataba hawaku sapoti wachezaji wanaoelekea upande wa pili wa miaka 30 kupewa mikataba mirefu lakini hawakusikilizwa na Klopp akatoa go ahead wapewe mikataba mirefu ajabu.
Allison yupo mpaka 2027 atakua 34
Henderson mpaka 2025 atakua 34
VVD yupo mpaka 2025 atakua 33
Fabinho yupo mpaka 2026 atakua 31
Robertson mpaka 2026 atakua 34
Matip yupo mpaka 2024 atakua 32
Salah yupo mpaka 2025 atakua 32
Thiago yupo mpaka 2024 atakua 33
Hao wote ni wachezaji waadamizi ambao wakiwa wazima hakuna kukaa benchi chini ya Klopp na mpaka sasa Klopp amechemka namna bora ya kusajili ili ku maintain competitive edge kwenye ligi na mashidano mengine yeye ameishi kwa kopi na ku pasti na ndio tupo hapa wachezaji wale wale wapo clueless kabisa kwa kua wamechoka nao ni binadamu fresh and blood...
Liverpool tujifunze kutoka kwa Manchester City wanavyosajili wachezaji wao na bila shaka Klopp ataona kabisa kua hii EPL moja ni yeye amechangia.
Amekaa misimu miwili anamsaubira Bellingham haha sasa huyoo hatuwezi hizo levo kwani FSG ni simpo kama ulivuoona kwa Nunez walitoa ela kiduchu na Klopp akashindwa kusajili MF June 2022 hivyo sasa ingekua tena aje Bellingham kwa £100+ na bajeti ingekua imeishia pale pale.
YNWA
Kheeee kumbe Milner alifanya tuongoze ligi
....Guys, YOU WILL NEVER WALK ALONE... hebu iendelezeni thread yenu, duh, mmeuchuna as if hamuongozi league? au hamjiamini amini?
haya.... nitarudi tena humu mpaka mzoee!!!
Safari ni ngumu saana kwa kweli lkn kwa kuwa Milner yupo hatuna wasiwasiHaya kila la heri lakini bado mna safari ngumu maana jana nilijua mnazoa kapu la magoli toka kwa stoke lakini wapi mkahangaika nao na hatimaye kugawana point na timu iliyo karibu na mkiani. Mkiendelea kujikanyagakanyaga namna hii basi lolote linaweza kutokea na kuishia nafasi ya pili au hata ya tatu. Najua leo mtasali sana ili MANU na Chelsea watoke draw.
Mm nikimuona Milner najisikia amaniWe are there and we will be there! Liverpool Daima. Dah! nikiona hiyo nembo napata faraja sana.
Teh teh teh mgonjwa nani sasa?
ApiaKosa KUBWA Benitez aliyofanya ni kuanzisha vita Maneno na SAF..Kwa wanaojua historia ya Babu ni mashahidi pia... ni Mourihno tu at least alimuweza...Guyz forget about the title..yes i mean the title..Benitez kawasha moto ambao kamwe hatoweza kuuzima!
One Love One United..
Kumbe kingereza humu kilianza zamani kipindi hicho Henderson anauwasha kwelikweliI guess all eyes on us now! Since all the so called big five (including Aston Villa) have won, we ought to win on Monday as well. And we will.....hata kama mashabiki wa Manu na Chelsea mtakuwa bize kubana makorodani yenu....lol
Go Liverpool~
Mwisho wa EnziNdio maana Benitez alianza kupiga kelele alijua siku za kukaa kileleni zimeisha