Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Super Frank Lamparange.

The Ligend of Chelsea.

Fantastic and competitive Coach.

Apewe mkataba wa miaka buku "millennium"

Hakuna mwingine kabisa zaidi ya FL.

Tumeipenda wenyewe Chelsea na tuvimbe tupasuke.

Asepimbi nipeni moyo wa kuvumilia mateso ya Chelsea FC la sivyo nitapasua hii TV hapa kibanda umiza [emoji35]

Tangu 2003 hamkubeba EPL ila mna vitambi kabisa [emoji848]
JamiiForums-1387865150.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mdogo wangu TAA analipwa sh ngapi?
Hahaha huyu home boy yupo kwenye £180k kwa wiki.

Maisha bhana ni full luck aisee mwamba Arthur Melo analipwa £110 kwa wiki huku akiwa amecheza tu dakika 13 kama sikosei Liverpool tangu atue kwa dharura kutokea Juventus.. Dogo katalii but unlucky with his injuries.

YNWA
 
Kumbe kanakwapua nyingi nyingi

Huyo ndugu yake na Maxence Melo hata sura yake tu sijaikariri, achilia mbali kumuona uwanjani akiwa na timu yetu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
🙃 🙃 🙃 🙃 🙃 Ndio anakula hizo aisee na hata klabu ilivyotaka kukatisha mkopo wake hawakutaka kusikia hilo sio wakala, Juventus...

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapambane na home boy wao Lampard wamalize Ligi aafu June wapate kuajiri kwa utulivu mwalimu mwenye cv inayoedana na kikosi na mwenye maono ya kueleweka.

YNWA
Wanasema bora Potter
Kuwaelewa Chelsea yahitaji moyo sana.

Sasahivi wamekatoa ka Kepa kuwa kambuzi ka kafara.

Wapo kwenye mazungumzo na Mwalimu kutoka Ureno.
Hakuna picha hawataona safari hii.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nani anataka kukatisha ulaji[emoji38]
Hata ningekuwa mm ningekataa.

Good morning Bobby.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahaha huyu dogo ana bahati sana tazama..
Barcelona walimnunua kwa £30m hivi msimu wa 2018/2019 hakuwai kua na utulivu ni majereha hapa na pale, mwaka 2020 Juventus wakaingia kichwa kichwa kwa ada £60m akatua Turin nako trend ikawa ile ile mpaka pale Klopp alivyojitoa ufahamu kwenda dakika za mwisho kumchukua kwa mkopo. Ajabu ni kwamba historia yake ya majeruhi ipo well documented meaning kwa high intensity Liverpool way asingetoboa kamwe.
. He is one lucky boy.

YNWA
 
Wanasema bora Potter
Kuwaelewa Chelsea yahitaji moyo sana.

Sasahivi wamekatoa ka Kepa kuwa kambuzi ka kafara.

Wapo kwenye mazungumzo na Mwalimu kutoka Ureno.
Hakuna picha hawataona safari hii.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
In life watch what you wish for. Walimtoa teja Thomas Tuchel kwa bwebwe na sasa wapo pambaya zaidi...

Good. Morning Miss Liverpool.

YNWA
 
Hahaha huyu dogo ana bahati sana tazama..
Barcelona walimnunua kwa £30m hivi msimu wa 2018/2019 hakuwai kua na utulivu ni majereha hapa na pale, mwaka 2020 Juventus wakaingia kichwa kichwa kwa ada £60m akatua Turin nako trend ikawa ile ile mpaka pale Klopp alivyojitoa ufahamu kwenda dakika za mwisho kumchukua kwa mkopo. Ajabu ni kwamba historia yake ya majeruhi ipo well documented meaning kwa high intensity Liverpool way asingetoboa kamwe.
. He is one lucky boy.

YNWA
Klopp atakua alivuta bangi kwanza kabla ya kumsajili
 
Hahaha huyu dogo ana bahati sana tazama..
Barcelona walimnunua kwa £30m hivi msimu wa 2018/2019 hakuwai kua na utulivu ni majereha hapa na pale, mwaka 2020 Juventus wakaingia kichwa kichwa kwa ada £60m akatua Turin nako trend ikawa ile ile mpaka pale Klopp alivyojitoa ufahamu kwenda dakika za mwisho kumchukua kwa mkopo. Ajabu ni kwamba historia yake ya majeruhi ipo well documented meaning kwa high intensity Liverpool way asingetoboa kamwe.
. He is one lucky boy.

YNWA
Ina maana walidhamiria kununua mgonjwa[emoji16]
Kweli bahati huwa kwa kila mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom