Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attachments

  • IMG_20230317_133330.jpg
    IMG_20230317_133330.jpg
    59.8 KB · Views: 12
Miss Liverpool mpaka unaona kwa nini nasimama na Klopp wakati wote... Chelsea wamesajili haswa yaaani haswa lakini je uwanjani matokeo unaona yanavyo wapa presha kwa kua hali ni tete...

Tazama Everton wametoa ela ndefu kwenye usajili tangu aje mmiliki wao mpya lakini je uwanjani kuko aje..

Tazama Westham wametoa pesa za maana za usajili lakini je uwanjani matokeo.

Lakini Klopp na ela za "mboga" hua anafanya vyema.

YNWA
Klopp for life.

Chuma Lampard mzalendo,Chelsea damudamu anawazamisha chini ya daraja😂😂😂
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hivi kale kamsemo ka kila mmoja ashinde mechi zake niaje tena leo🤠🤠

Kwa Liverpool hii ndugu labda Arsenal waje kama Manchester United wakati anakula 7.

YNWA
Natamani mechi ya vile ijirudie jamani
 
Guys. Arsenal na Liverpool sote tunataka kitu kimoja. Yaani Arsenal achukue ubingwa. Hivyo basi Leo msikaze saaaanaa. Kuwapiga Mbili bila au mbili moja tu kwetu inatosha Kwa heshima
Nyie watu mnatuconfuse 🤣🤣
City eti wapo upande wetu😂😂😂😂
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
 
Sisi ni ndugu ingawa sometimes mnatuangusha nyie. Siku tuliwatuma mkawapige Manyumbu mkawapiga haswaa. Siku ingine tukawatuma mkawapige City mkawahurumia. Sasa leo tunakuja sisi wenyewe...jamani ndugu tujengeni madaraja na si kuta
Nyie watu mnatuconfuse 🤣🤣
City eti wapo upande wetu😂😂😂😂
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
 
Sisi ni ndugu ingawa sometimes mnatuangusha nyie. Siku tuliwatuma mkawapige Manyumbu mkawapiga haswaa. Siku ingine tukawatuma mkawapige City mkawahurumia. Sasa leo tunakuja sisi wenyewe...jamani ndugu tujengeni madaraja na si kuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tulivyo wabovu,mtatufunga tu.

Arse8 atwae ubingwa mwaka huu.
 
Milner mitano tena ni kiongozi uwanjani
Henderson tuna imani nae
Ox mtaalumu wa pasi za mwisho
VVD kisiki ukuta apewe mkataba wa maisha
 
Manyumbu yalidhani nyie ni wabovu wakaingia kichwa kichwa wakapokea za uso kudadadeki. Leo Lazima tuwe makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tulivyo wabovu,mtatufunga tu.

Arse8 atwae ubingwa mwaka huu.
 
I Hope Leo Asenyo Tutamfanya Kama Tulichomfanya Nyumbu...
Salah [emoji460][emoji460]
Firminho [emoji460]

Liverpool 3 Asenyo 0
FT
 
Nyie watu mnatuconfuse [emoji1787][emoji1787]
City eti wapo upande wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
Mkuu msimu huu Arsenal NDOO

achana na nyumbu na hao manpisi kali
 
Nyie watu mnatuconfuse [emoji1787][emoji1787]
City eti wapo upande wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
Nope mi Bora abebe tu city [emoji52]
Asenyo kelele nyingi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom