Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Milner akichoka kucheza awe kocha Liverpool ailampard timu
Msituangushe..anfield ni pahala patakatifu.Usijali Mkuu.
Hatuna kazi mbovu.
YNWA[emoji91]
"LIVERSTER CITY" hahahaahk
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hivi kale kamsemo ka kila mmoja ashinde mechi zake niaje tena leo🤠🤠Hata muwe wabovu vipi, pale anfield arsenyani arsenyau hawezi kuondoka na point hata za kuazima tu.
Nasema uongo Captain Marvelous ?
Miss Liverpool mpaka unaona kwa nini nasimama na Klopp wakati wote... Chelsea wamesajili haswa yaaani haswa lakini je uwanjani matokeo unaona yanavyo wapa presha kwa kua hali ni tete...Wapo kumtukana Lampard huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtatufungaje wewe Ngwaba? Tunakuja chukua point zetu hapo.Msimu huu iwe jua iwe mvua naunga mkono 100% Arsenal awe BINGWA. The reason behind Mimi ni mnazi mkubwa sana wa Arteta but nasikitika kusema leo tutawafunga Arsenal.
Kuhusu kila mtu ashinde mechi zake wala sio shida ndio maana jana tumetoa kichapo.Hivi kale kamsemo ka kila mmoja ashinde mechi zake niaje tena leo
Kwa Liverpool hii ndugu labda Arsenal waje kama Manchester United wakati anakula 7.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atasema hana matokeo kwa kua LiveScore kule A City hakuna network mvua inachapa.
OllaChuga Oc [emoji3481] [emoji23][emoji23][emoji23].
YNWA
Hii season itakuwa Safi Sana tumalize tukiwa wa nane hivi tukose hata conference cup....
Fsg wapate akili
Unazi weka pembeni, liva ushindi muhimu.Msimu huu iwe jua iwe mvua naunga mkono 100% Arsenal awe BINGWA. The reason behind Mimi ni mnazi mkubwa sana wa Arteta but nasikitika kusema leo tutawafunga Arsenal.