Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Wale wahuni sijui walikuwa wanawaza Nini[emoji1787]Manyumbu yalidhani nyie ni wabovu wakaingia kichwa kichwa wakapokea za uso kudadadeki. Leo Lazima tuwe makini
Wale wahuni sijui walikuwa wanawaza Nini[emoji1787]Manyumbu yalidhani nyie ni wabovu wakaingia kichwa kichwa wakapokea za uso kudadadeki. Leo Lazima tuwe makini
😂😂😂😂😂Klopp for life wwe huyoooo.Klopp for life.
Chuma Lampard mzalendo,Chelsea damudamu anawazamisha chini ya daraja😂😂😂
Bora abebe arse8Nope mi Bora abebe tu city [emoji52]
Asenyo kelele nyingi sana
Tatizo huwa ananitibua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Klopp for life wwe huyoooo.
Hahaha ila Miss Liverpool unahamisha magoli sanaaaa.
Nipo na Klopp always.
Join the boat.
YNWA
Liva leo anashinda na city ndio bingwa wako utake usitake.Nyie watu mnatuconfuse
City eti wapo upande wetu.
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.
Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
SwadaktaaI Hope Leo Asenyo Tutamfanya Kama Tulichomfanya Nyumbu...
Salah [emoji460][emoji460]
Firminho [emoji460]
Liverpool 3 Asenyo 0
FT
Acha kudanganya wenzio eti mnataka kitu kimoja.Guys. Arsenal na Liverpool sote tunataka kitu kimoja. Yaani Arsenal achukue ubingwa. Hivyo basi Leo msikaze saaaanaa. Kuwapiga Mbili bila au mbili moja tu kwetu inatosha Kwa heshima
Leo unakesha huku ukisupport Liverpool ambao ni marafiki zetu wakubwa sisi Arsenal 😆😆😆Atmoshphere ya anfield ni ya tofauti sana, vibe la mashabiki ni la kustaajabisha,kwa hakika leo inawabidi mfufue matumaini ya kucheza europa msimu ujao, na hiyo itawezekana kwa ushindi katika nyasi za nyumbani na si vinginevyo.
#YNWA
Mtoto pendwa wa Baba HendoLiverpool squad to face Arsenal.
View attachment 2582411
Subs: Kelleher, Gomez, Thiago, Milner, Firmino, Elliott, Tsimikas, Nunez, Matip
YNWA
Toka lini ukatutakia mema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atmoshphere ya anfield ni ya tofauti sana, vibe la mashabiki ni la kustaajabisha,kwa hakika leo inawabidi mfufue matumaini ya kucheza europa msimu ujao, na hiyo itawezekana kwa ushindi katika nyasi za nyumbani na si vinginevyo.
#YNWA
Leo unatushabikia?Liva leo anashinda na city ndio bingwa wako utake usitake.
YNWA
HahahaLeo unatushabikia?
Akiyanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
shindeni buana, THE COPS.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Klopp huwa yupo smart sana kwenye mechi za aina hii.
YNWA