OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hatimaye kubwa jinga la mwezi limepatikana
sijui kama yupo na kama yupo hatakua mzimaBado kuna watu wanaimani na Jurgen klopp humu!
Hivi kwanini siku nyingine asidake yule dogo Kalleher?
Wachezaji hawana kiu ya kushindania second balls yaani hii tatizo tangu October mpaka leo lipo pale pale...Honestly tunahitaji 2 CB na 2Midifilder
Class is permanent form is temporary...Hivi kwanini siku nyingine asidake yule dogo Kalleher?
Naona ukitoa kile kikombe cha alkasusu mlichopewa,kombe lenu lingine ni liver kufungwa na Man cityKama Bournemouth tulimpiga 9 - 0
Akaja Nyumbu nae tukampiga 7 - 0
Hawa wadogo zake nyumbu leo na wenyewe tukiwahurumia sana basi tunawagonga 5 - 0 alisikika Saint Anne akiropokwa baada ya chupa nne za Balimi kupanda kichwani.
Sijahangaika kuangalia.Class is permanent form is temporary...
Miss Liverpool umeangalia mpira?
Umeona goli la ki uzembe kutoka kipa?
YNWA
Umeuliza au umejisemea tu?Week Ijayo Tutamfunga Arsenal Kweli
Liverpool bila Milner haiwezekaniWahenga Fc wazee wa pension,
Nilivyoona tu Milner yuko bench nikajua kabisa lazima jogoo atage.
Hii timu hua inabebwa na uwezo binafsi wa Milner, sijui Klopp alikula maharage ya wapi mpaka akaamua kumuweka bench na kumuingiza dakika za majeruhi. View attachment 2573073
😂 😂 😂 😂 Ushanyayua mikono kumbe... Tazama highlight uone.Sijahangaika kuangalia.
Ila angedaka yule dogo
Mbona ni mzuri!
Ifike muda Allison naye apate mbadala