Na mizigo ya Manjesta ni ngumu sana kuuzika lol that team akicheza vyema Casmiro na Fernado basi ushindi upo ila wakipoteana basi ushindi unashaulika... With Casmiro on the field win percentage inakua ova 60% na kama hayupo ni mbaya sana..
I have hope na Klopp maana huyu mzee anajua ku point vipaji rarely anaharibu sokoni hivyo akiwa afforded £200m+ itakua well spent cash kujenga kikosi... Nina imani na Klopp kwamba anahitaji kupewa back up na uzuri kasema mwenyewe kuna baadhi ya mambo yatabadilika tu na pia sasa anaambiwa at point blank aache kua tooo loyal inamcost ushindi hivyo we are heading to a proper June 2023 yenye hope kubwa sana.
YNWA
🙆🏿🙆🏿No way Mount hapana huyu atulie alipo... If we are going for Jude basi awe ni huyo huyo mtoto wa Malkia, for now since we need quick adaptation kwa new recruit i would rather buy from within EPL kuliko kutoka nje ya EPL kwa kua going by past buys wachezaji wengi tuliosajili from within hawakua wambaya kwetu hata Ox was superb kabla ya ile injury yake vs Roma UCL ooh boy has never been same again hivyo supposing Klopp anapewa £200m na suppose atauuza wachezaji kadhaa ikifika £230m, basi kama huyu Jude lazima atue tununue hivi
1st opinion
Jude
Nunes
Palhinha
2nd opinion
Jude
Kone
Nunes
3rd opinion
Jude
Gravenberch
Nunes
Nakomaa na Nunes kwa kua hata bei was almost agreed to below £60m.
Mount is overrated kuja kulipwa over £250k kwa wiki hapana atulie alipo.. Tunahitaji kind of new Sheriff Fabinho in town sababu Jude wi be paying higher up the pitch hivyo tunahitaji a progressive tackler with an eye for quick pass na Mount hayumo in that category...
Mara pap FSG wanapata wawekezaji wapya then tunakwenda full throttle kwa wawili ama mmoja
Khvicha 😂😂👍dream signing
Pellegrin
Barela
Diaby
Florian
YNWA
Chukua hiyo fursa bibie miwani si shida. Kipa wetu Manuela Zinsberger anavaa miwani pia. Contacts kwenye games.Sijui hata niwe mfungaji mimi kama Salah🤣🤣🤣
Sijui niwe kipa
Ila kipa ngumu,nina uoni hafifu bila mawani mbao sitoboi😂
MosDef fanya mpango bwana niungishe na timu ya wadada
Nina mapafu ya mbwa🤣🤣🤣🤣
Ngoja aje brother MosDef anipe connection.Chukua hiyo fursa bibie miwani si shida. Kipa wetu Manuela Zinsberger anavaa miwani pia. Contacts kwenye games.
Tatizo la soka la wanawake ulaya ni wanaendekeza sana mapenzi na kazi. Ukiwa mrembo teammates watakutokea na ni kawaida sana kukuta couples ndani ya timu. Ukiwa na maadili yetu ya kibongo sana unaweza ukakwazika.
Kumbe wanatokea majumbani kwao,Nilidhani wanaishi kambini muda wote kama hostel[emoji16]Refusing to play for managers, happens all the time.
At LFC, hii ishawatokea kina Roy Hodgson na Brendan Rogders, infact Brendan Rodgers anakutana nayo hali hii at Leicester now, some players arent playing for him.
Benitez imemkuta at Madrid & Everton, Mourinho pia imemkuta mara chache, especially spell yake ya mwisho at Chelsea, Tuchel at PSG, etc, kwenye Mid-table teams ndiyo inatokea kila siku, ni suala la kawaida kwenye mpira, players are PROS, so wakiona tactics zako hazi-make sense na haziwapi ushindi au kuleta matokeo chanya uwanjani, wana-stop kucheza at their level best (down-tooling).
Camps & dressing rooms ni different terms, Dressing room ni general term inayotumika kuainisha mazingira around the CLUB (Training facilities, resting areas, Club offices & most of all dressing rooms), Training Area, at LFC ni AXA training centre, ndiyo office ya mchezaji, as anaamka kila siku asubuhi kwenda hapo ku-report kwaajili ya training drills na other training sessions, ni kama mtu mwingine anavyoamka kila siku kwenda ofisini, huwa wanatokea majumbani kwao, na mara nyingi reporting time inakuwa ni kuanzia saa 2-3 asubuhi.
Camps, ni zile unaweka kama una tour away from the Club's home base, kama mnaenda tour Asia/USA, mnaenda kuweka camp, mfano msimu huu tumefanya tour Asia kwenye pre-season, so we had to set various camps there, pia during WC tulikuwa na camp dubai, camps & dressing rooms ni very different.
Ila we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]FSG msiuze timu kwani ni mali yenu
Kwann mtumie kiasi kikubwa kusajiri kwani wachezaji wameleta kombe ?
Milner mitano tena ni muhamasishaji mzuri
Lakini dogo mbona yupo vizuri tuTrent needs a serious competition.
Tushamkosa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Looks like Jude is heading to Man City.
All that ground-work, countless meetings with Mark Bellingham (his father), verbal agreements, etc, means nothing at the end.
FSG, kwa mara nyingine tena, wametu-let down, cant say i'm suprised.
Waited and wasted 2 years for Jude, for NOTHING, and oh! before we put blame on Klopp, sidhani kama angeamua kumsubiria Jude bila kuwa ASSURED na FSG.
As long as FSG, wataendelea kuwepo at LFC, hatutakuja kuwa a serious club again.
Hapo kwa vvd sikupingiMimi binafsi, VVD amenitoka kabisa msimu huu Mkuu.
I thought he was a good. leader, but dude is full of arrogance, ni kama Trent tu wanahisi wame-complete football kabisa, lile goal la Bournemouth liliniuma sana, sana yaani, ni goal jepesi ambalo lilikuwa linazuilika kabisa.
kina Daniel Agger, walikuwa wanaweza kuua kwaajili ya team, na. walikuwa ni SUPER TALENTED, VVD amekuwa naive & arrogant, ni aibu kuona a kid konate anajaribu ku-step up kuliko VVD, kwenye game ya Bournemouth alikuwa anamlaumu Konate kwa kumchezesha Dango Ouattara onside, wakati he was his MAN, na pia uliona Trent alivyofail kum-track Billing kabisa, he didnt even try.
Sven Botman & Bruno Guimaraes, wote wangekuwa LFC players kama FSG & Klopp wangekuwq serious, Botman ni FSG's fault, Bruno ni Klopp's fault.
Hii nimeisoma dogo Caiceido alipelekwa hawa jamaa kwa £4.5m wakasema pass ona sasa dogo alivyopanda value... Wakati mwingine hawa wenye maamuzi ya kusajili wakati mwingine hua wanishindwa kuona vipaji especially kwa hawa wachezaji wenye umri mdogo kama Caiceido nkBora sisi mkuu, United walipelekewa Caicedo mlangoni na wakakataa.
United bado wana kazi kubwa sana sokoni, now ETH anafanya kazi kubwa sana, punching above his weights, ana "majina" kwenye kikosi ambayo mengi ni mzigo/quantity, anahitaji CB, 2 MFs and a ST.
I think, msimu ujao. tutarudi vizuri, summer hii itakuwa ni MAKE or BREAK, tukikosea tu kidogo, ndiyo tunapotea moja kwa moja.
Kyle Walker from Southampton can do a very decent job as Trent doppelganger...Trent needs a serious competition.
If FSG wrote the extended cheques for Thiago then we can offer Palhinha a chance to make us better lol that Disney stuff bro... He is 28 not age liked by Gordon n crew but with bosses like FSG that bad business as the boy lack resale value in the near future. If Milner can still starting an away game at UCL portrays the main picture where we are as team in terms of recruitment and we are really poor guys behaved like we are immnue to age related decline of this great players..Palhinha is 28 (i believe), and Fulham will demand a lot of money, so kwa owners tulionao, we cant offord ku-move kwa hizi short term fixes ambazo zina-cost pesa nyingi
Fabinho is 29 now, na ameshatepeta kiasi chake, we got Fabinho at 24, 5 years later na yupo katika hali ile, 29 ni miaka ambayo alitakiwa kuwa kwenye his prime years, but again DM role under Klopp ni very demanding, umeona tu mwenyewe, Bajcetic (miaka 18), misuli imegoma baada ya kuchezeshwa mfululizo at DM, Palhinha is good but under Klopp na miaka aliyonayo, tunaweza kumtumia for 2 years tu, na sidhani kama FSG watakuwa tayari ku-fund another MF in 2 years time.
Profile, za ku-target now, should be below 24 years, as we are re-building kwaajili ya long-term.
I like the idea of Nunes, as namuona katika ile Gini role at LCM, he's a very good ball carrier, and being so good at that aspect, makes him a strong press-resistant and very good holder of the ball.
Jaribu uone nimwambie pande la jitu bro Milner aongeze 7 kabisa na sio mitano tenaIla we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna muda huwa natamani nikunase makofi [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Milner can still starting an away game at UCL portrays the main picture where we are as team in terms of recruitment an
Si nakutandika ngumi halafu nakimbiaJaribu uone nimwambie pande la jitu bro Milner aongeze 7 kabisa na sio mitano tena
VVD aliyewaletea mdogo wakeHapo kwa vvd sikupingi
Ni mchezaji wa kipumbavu Sana most of them hawana uchungu wale