Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
On spot kaka huyu VVD ni pure arrogance yaaani ni kweli ametuwakilisha vyema sana lakini dude anajiona kama ana hati miliki ya ile namba na kwamba anaweza ku shout kwa hawa juniors partners atavyo damn that so low... We have witnessed prime Kompany, Vidic, Terry, Agger, Hypia nk and this great men rarely you would see them ranting kwa sabbabu timu imefugwo maana that exposing our dirty linen in the public eyes... VVD is down ward trend na hataki kukumbali kwamba ameshuka na too bad kwa Klopp hana like for like ama pia he is too loyal kwa dogo kiasi hawazi kusajili msaidizi capable ama pia kwa kukosa kupewa mpunga... Nwa msimu huu tumemjua vyema huyu dogo na Klopp asipo address hivi vimaneno vyake viishe basi tujiadae kua na mkata morale ndani ya klabu for long time kwa kua mkataba wake bado yupo yupo...Mimi binafsi, VVD amenitoka kabisa msimu huu Mkuu.
I thought he was a good. leader, but dude is full of arrogance, ni kama Trent tu wanahisi wame-complete football kabisa, lile goal la Bournemouth liliniuma sana, sana yaani, ni goal jepesi ambalo lilikuwa linazuilika kabisa.
kina Daniel Agger, walikuwa wanaweza kuua kwaajili ya team, na. walikuwa ni SUPER TALENTED, VVD amekuwa naive & arrogant, ni aibu kuona a kid konate anajaribu ku-step up kuliko VVD, kwenye game ya Bournemouth alikuwa anamlaumu Konate kwa kumchezesha Dango Ouattara onside, wakati he was his MAN, na pia uliona Trent alivyofail kum-track Billing kabisa, he didnt even try.
Sven Botman & Bruno Guimaraes, wote wangekuwa LFC players kama FSG & Klopp wangekuwq serious, Botman ni FSG's fault, Bruno ni Klopp's fault.
Chondechonde mtoe Trent wangu hapo jamani.Mimi binafsi, VVD amenitoka kabisa msimu huu Mkuu.
I thought he was a good. leader, but dude is full of arrogance, ni kama Trent tu wanahisi wame-complete football kabisa, lile goal la Bournemouth liliniuma sana, sana yaani, ni goal jepesi ambalo lilikuwa linazuilika kabisa.
kina Daniel Agger, walikuwa wanaweza kuua kwaajili ya team, na. walikuwa ni SUPER TALENTED, VVD amekuwa naive & arrogant, ni aibu kuona a kid konate anajaribu ku-step up kuliko VVD, kwenye game ya Bournemouth alikuwa anamlaumu Konate kwa kumchezesha Dango Ouattara onside, wakati he was his MAN, na pia uliona Trent alivyofail kum-track Billing kabisa, he didnt even try.
Sven Botman & Bruno Guimaraes, wote wangekuwa LFC players kama FSG & Klopp wangekuwq serious, Botman ni FSG's fault, Bruno ni Klopp's fault.
Dah aiseeOn spot kaka huyu VVD ni pure arrogance yaaani ni kweli ametuwakilisha vyema sana lakini dude anajiona kama ana hati miliki ya ile namba na kwamba anaweza ku shout kwa hawa juniors partners atavyo damn that so low... We have witnessed prime Kompany, Vidic, Terry, Agger, Hypia nk and this great men rarely you would see them ranting kwa sabbabu timu imefugwo maana that exposing our dirty linen in the public eyes... VVD is down ward trend na hataki kukumbali kwamba ameshuka na too bad kwa Klopp hana like for like ama pia he is too loyal kwa dogo kiasi hawazi kusajili msaidizi capable ama pia kwa kukosa kupewa mpunga... Nwa msimu huu tumemjua vyema huyu dogo na Klopp asipo address hivi vimaneno vyake viishe basi tujiadae kua na mkata morale ndani ya klabu for long time kwa kua mkataba wake bado yupo yupo...
FSG na Klopp wote ni wa kulaumiwa kwa nni hata hawakuangalie Prime Chelsea au Manchester City /United wanavyodili na over 30yrs players kwenye ku re new mikataba yaaani sijui waliangalia kipengele kipi kuwapa hawa wazee mikataba mirefu vile ilhali ubora kwa namna yoyote ile kushuka haukwepeki.... Chelsea zamani ilikua mchezaji akishagonga 30 ni mkataba wa mwaka mmoja with mwaka wa pili ikiwa ni option na hii ilikua inawapa muda kuadaa vijana wa kuja kuridhi wakiodoka... Lakini hapa kwetu hatuna mridhi wa uhakika wa Robertson, VVD, Fabinho, Henderson nk ni ishu sana.
YNWA
😂😂😂😂Timu ya wadada imerejea WSL msimu huu japo matokeo ni kuungaunga kama tu ma boys... Ijumaa wapo na mechi na Everton kaangalie uone nafasi ipi inakufaa 😂😂😂Huyu kaka ukute ni kocha huko uingereza na watu hamsemi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niombee nafasi basi nikacheze LFC ya wadada.
Au hata kibarua cha kupiga deki kambini siyo mbaya.
Enzo by far much better compare with jude, Enzo ni midfielder ambaye anakupa vitu vingi na kupitia uwezo wake aliyonao ana uwezo wakucheza nafasi nyingi, ana uwezo wa kucheza kama kiungo mkabaji no 6 na 8, beki wa Kati na kiungo mshambuliaji. Enzo ni fundi wa pass ndani ya Muda mfupi pale chelsea ana assist 2 Tena anacheza no 6, ameweka record kuwa mchezaji wa Chelsea aliyefanya interceptions nyingi ndani ya mechi Moja, kapiga key pass nyingi na pia mzuri kwenye dribble
Sijui hata niwe mfungaji mimi kama Salah🤣🤣🤣😂😂😂😂Timu ya wadada imerejea WSL msimu huu japo matokeo ni kuungaunga kama tu ma boys... Ijumaa wapo na mechi na Everton kaangalie uone nafasi ipi inakufaa 😂😂😂
YNWA
Hahaha did you watch the game clearly weka mahaba pembeni dogo...Dah aisee
Kweli mmeamua kumsagia kunguni VVD.
Kwa game nyingine labda ni sawa
Ila hiyo mnayoisema nasimama na VVD.
Alaumiwe Konate.
Kwa hiyo zile mbio zote za VVD toka nusu uwanja hadi amefika mwisho nyie hamzioni?Hahaha did you watch the game clearly weka mahaba pembeni dogo...
VVD alisimama na kumpa Dango chance ya kupiga klosi kumfikia Billing... Sasa swali kama VVD asingesimama akatembea na Dango hio klosi angeipigia wapi na hata kama angepiga ingemkuta VVD amezimba njia aidha angeoa kona ama nk... Angalia marudio YouTube utaona VVD is solely to blame.
YNWA
I would rather play Jones or Elliott waoje presha playing at Bernabeu which is part of thier development kuliko kumchezesha Milner...
Duu Kieta again majeruhi hivi huyu dogo kweli ana miaka 27 ama alidanganya umri, i feel for him kwa huyu June 2023 ifike asahau hii chapter ya maisha yake maana he is toooo unlucky...
YNWA
Sema huko mliko wenzetu madaktari kiasi fulani ni wataalam sanaElliott & Jones, wangeanza in a pivot na Fabinho, ingekuwa aibu nyingine, mambo ya kupigwa tena "mkono", ilikuwa ni lazima tuyaepuke.
Keita, kocha wake wa team ya taifa ndiyo aliua career yake, unakumbuka Raktic alimchezea tackle mbaya sana at Camp Nou kwenye our first leg 2018/19, na kabla hata hajali-cover akaitwa team ya Taifa, i think Club ilizuia asiende, but pressure at home ilikuwa ni kubwa, i think ilikuwa ni baada ya watu wa Guinea kujaribu kudhuru his family kwa kuzingira nyumba ya kina Keita, so he had to go, asingeenda ingekuwa shida.
alipopata ile injury, ndiyo hajali-cover mpaka leo.
Suala la umri, asilimia kubwa sana ya wachezaji wanadanganya umri, especially wa Africa na South America.
Ukiachana na umri, Keita ni injuries tu ndiyo zimeua career yake, kama Sturridge, Agger, Aquilani, Aurelio, Lallana etc, so siyo suala la. umri Mkuu, sometimes unashindwa kabisa kurecover from injuries.
Tuna Imani na MilnerFSG mitano tena
Mimi hata sijui🤣
Ni kama yapi mkuu
Nielekeze japo cha uchache.
Niliona Chelsea pia wanasema Tuchel dressing room blah blah kibao...
Mimi nikawa mtetezi lialia wa Tuchel na sikuona sababu ya kumuondoa.
Pengine ni kwa sababu sijui nje na mechi,ni vitu gani vingine huwa vipo.
Yeah man wachezaji wengi tu majeruhi ni kikwazo kwao ku hit top form... Hii ishu ya Kieta na kocha wa timu ya Taifa ilikua ajabu sana kwa sababu alikua haja recover na akiwa star boy timu ya Taifa naona wali panick kiasi kutishia familia that was really awkward situation n i remember he went nadhani alicheza na kuumia tena huko huko duh something hua zinasahaulika kama hilo tukio he was forced to keep his family safe... Nwa better akajaribu maisha kwingine his body is made of delhi biscuits mikiki ya EPL is way tooo much to handle... Hatuna tena luxury kuwabeba hawa wagonjwa tunahitaji wapambane kazi iliyopo mbele ni ngumu sana.. Imagine Osimen akitua Manchester United na Pep akampata Khvicha.. Meaning we have to step out of this scenario ya Kieta, Ox, Thiago ambayo wanakua kitandani when we need them most...Elliott & Jones, wangeanza in a pivot na Fabinho, ingekuwa aibu nyingine, mambo ya kupigwa tena "mkono", ilikuwa ni lazima tuyaepuke.
Keita, kocha wake wa team ya taifa ndiyo aliua career yake, unakumbuka Raktic alimchezea tackle mbaya sana at Camp Nou kwenye our first leg 2018/19, na kabla hata hajali-cover akaitwa team ya Taifa, i think Club ilizuia asiende, but pressure at home ilikuwa ni kubwa, i think ilikuwa ni baada ya watu wa Guinea kujaribu kudhuru his family kwa kuzingira nyumba ya kina Keita, so he had to go, asingeenda ingekuwa shida.
alipopata ile injury, ndiyo hajali-cover mpaka leo.
Suala la umri, asilimia kubwa sana ya wachezaji wanadanganya umri, especially wa Africa na South America.
Ukiachana na umri, Keita ni injuries tu ndiyo zimeua career yake, kama Sturridge, Agger, Aquilani, Aurelio, Lallana etc, so siyo suala la. umri Mkuu, sometimes unashindwa kabisa kurecover from injuries.
True brother haya mambo tuliyasema sana enzi zile Watford wanatupiga na kuvuja rekodi yetu ya kua invincibles na tukatolewa na El Cholo Uefa, hizi discussion zilikuwepo kwa upana hivyo kwa sasa ni mapitio matatizo yale yale sasa yamekua worse kwa kua kwanza umri wa wachezaji wetu bora umesogea sana na pia mahasimu wetu mmoja baada ya mwingine wa narejea kwenye ubora tazama Arsenal, Manchester United kwa namna moja wamejitahidi sana ku address mapungufu yao sokoni na pia kupata walimu sahihi hivyo vita ya EPL sio tena Klopp vs Kipara mbali wengine sasa wameamka huku kuna back bencher Newcastle nae anaonyesha ela za waarabu zikitumika vyema wanataka a piece of the most sort Big 4 spot...
We have gone backwards to 2015 and losing influential figures kwenye staff is way too much to take, na kuja kusikia Edwards, etc felt they couldn't do thier job without kuingiliwa ama kusikilizwa inaonyesha where we are as a club...
Above all kusikia Ward alimtonya Klopp about Enzo Fernadez akiwa Argentina na hakusikilizwa really paint a very bad picture no wonder nae ameona bora asepe zake.
YNWA
Yeah man wachezaji wengi tu majeruhi ni kikwazo kwao ku hit top form... Hii ishu ya Kieta na kocha wa timu ya Taifa ilikua ajabu sana kwa sababu alikua haja recover na akiwa star boy timu ya Taifa naona wali panick kiasi kutishia familia that was really awkward situation n i remember he went nadhani alicheza na kuumia tena huko huko duh something hua zinasahaulika kama hilo tukio he was forced to keep his family safe... Nwa better akajaribu maisha kwingine his body is made of delhi biscuits mikiki ya EPL is way tooo much to handle... Hatuna tena luxury kuwabeba hawa wagonjwa tunahitaji wapambane kazi iliyopo mbele ni ngumu sana.. Imagine Osimen akitua Manchester United na Pep akampata Khvicha.. Meaning we have to step out of this scenario ya Kieta, Ox, Thiago ambayo wanakua kitandani when we need them most...
YNWA
Na mizigo ya Manjesta ni ngumu sana kuuzika lol that team akicheza vyema Casmiro na Fernado basi ushindi upo ila wakipoteana basi ushindi unashaulika... With Casmiro on the field win percentage inakua ova 60% na kama hayupo ni mbaya sana..Bora sisi mkuu, United walipelekewa Caicedo mlangoni na wakakataa.
United bado wana kazi kubwa sana sokoni, now ETH anafanya kazi kubwa sana, punching above his weights, ana "majina" kwenye kikosi ambayo mengi ni mzigo/quantity, anahitaji CB, 2 MFs and a ST.
I think, msimu ujao. tutarudi vizuri, summer hii itakuwa ni MAKE or BREAK, tukikosea tu kidogo, ndiyo tunapotea moja kwa moja.
Tunaupenda sana mpira lakini tunata short cut ya mafanikio haha hii ndio Afrika...Wa-Africa sisi tuna shida sana kaka.
Keita, kama asingeenda Guinea kipindi kile angekuwa poa mpaka sasa, yule kocha wake alikuwa selfish sana pia.