Yaan milner first touch inamtesa sanaa.Hivi mbona kama katikati hakuna mtu
Dah[emoji3064]
Mpira unavuka kama upepo.
Reality check haha unless Klopp n his gang pull one hell of super come back performance we are already out..Dah
Sijayazoea maneno haya kutoka kwako Bobby🥺
Modric anamizidi Milner umri lakini mtazame anazeeka kama mvinyo wa Kirusi.Wazee LFC kuna poor mildifield dunia nzima ,, yaan mtu kama Milner anastruggle kucheza first touch ,,
Hahaha na ndio maana Kipara akatua mapema sana kwa Halaand atue Ethad ili wasake hio UCL kwa nguvu zote mpaka kufanikisha ushindi kwenye hilo ni kwamba muda utasema.Hao bado watoto kwetu sisi tuna vitu vingi sana vya kupigia kelele wabebe kwanza hata Uefa ndo waje kuanza kupigishana mdomo na sisi.
Kiufupi sisi ni Bayern Munich ya mdomo huwezi shindana na sisi na huka shinda.
Ni Klopp na Henderson ndio pekee kwenye familia nzima ya Liverpool wanaomwelewa babu Millie.Nani anamuelewa Milner?[emoji19]
Hayo ni matokeo hata ukiwauliza waliofunga watakwambia hata hao hawaamini huo ushindi ulipatikana kutoka kwa Manjesta kwa sababu baada ya kombe la dunia Manjesta ndio timu Ulaya yote ilikua kwenye form bora kabisa wakiongozwa na Rashford, lakini siku ile walichapwa na kitu kizito saba kichwani kiasi hawakuelewa wapo Anfield kwa mahasimu wao nambari moja pale UK.Sijui tuwafunge saba kama wale nyumbu😁
Ila leo matano yanatosha
[emoji23][emoji23][emoji19]Ni Klopp na Henderson ndio pekee kwenye familia nzima ya Liverpool wanaomwelewa babu Millie.
YNWA
[emoji23]Hayo ni matokeo hata ukiwauliza waliofunga watakwambia hata hao hawaamini huo ushindi ulipatikana kutoka kwa Manjesta kwa sababu baada ya kombe la dunia Manjesta ndio timu Ulaya yote ilikua kwenye form bora kabisa wakiongozwa na Rashford, lakini siku ile walichapwa na kitu kizito saba kichwani kiasi hawakuelewa wapo Anfield kwa mahasimu wao nambari moja pale UK.
YNWA
Ila kamodric kafupiModric anamizidi Milner umri lakini mtazame anazeeka kama mvinyo wa Kirusi.
Milner ana kazi nyingine pale Liverpool zaidi ya kucheza mpira maana sio kwa mahaba haya ya Klopp.
YNWA
Ndio hii timu mnatutishia nayo au kuna nyingine?Hawa si walifanya sifa wakaona kufunga 7 ni ujiko
Ngoja
Vini kamficha anord, hapandi kabisa[emoji4]Huyu Vinni hadi maji aite MMA [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini naye cha moto anakiona