Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
Bora Bobby ameingia
Uyu Refa anataka mpk mtu achomwe kisu ndo atatoa kadi, liver wanafanya foul za kusudi na wazi kabjsaLakini naye cha moto anakiona
Anavyojitegesha adondoshwe,na atadondoka sana
Anord anaklpigwa kanzu uko[emoji38]Huyo Vinni wenu mlimtuma kucheza au kudondoka?
Na bado [emoji23]
Hawa Madrid mliowatuma wamekuja kujitegesha ili ionekane fauloUyu Refa anataka mpk mtu achomwe kisu ndo atatoa kadi, liver wanafanya foul za kusudi na wazi kabjsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ha ha ah ....Cha muhimu aggregate[emoji4]Hawa Madrid mliowatuma wamekuja kujitegesha ili ionekane faulo
Na Bado,
Refa shikilia hapohapo
Subiri uone tunavyopindua meza
Tunasawazisha
Ha ha ha...Tunasawazisha