Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2553000

Duu allypipi huyu ndugu kweli noisy neighbour ebu waini pale Napoli mazima kwa Victor Osimen naamini mtakua na jambo lenu kuwazima kelele.

YNWA
Hao bado watoto kwetu sisi tuna vitu vingi sana vya kupigia kelele wabebe kwanza hata Uefa ndo waje kuanza kupigishana mdomo na sisi.

Kiufupi sisi ni Bayern Munich ya mdomo huwezi shindana na sisi na huka shinda.
 
Liverpool tunashinda hii game ila sina hakika kama tuna mtoa mwamba
Umesaau neno moja la muhimu sana mkuu kuongea kuwa,Mnashinda njaa.

Ilikuwa ni masaa Sasa ni dkk tu imebaki Liverpool kuendelea kuwa UCL.

tuonane 24/25 byebye
1678788823976.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom