Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,128
- 4,859
Hivi Saint Anne ana hizi habari?
Mmefunga katimu ka ajabu huko mpo mnatambaHivi Saint Anne ana hizi habari?
Tena ya baridii au yenye ice cubes.
Ni mbaya aisee dogo anaweza kua nje kwa mwezi au zaidi.Mwenye update ya injury ya Bajcetic
Kabisa [emoji23]Tena ya baridii au yenye ice cubes.
YNWA
Dah! [emoji24][emoji24][emoji24]Ni mbaya aisee dogo anaweza kua nje kwa mwezi au zaidi.
Huyu pepo wa majanga kwa hawa wachezaji ameweka kituo Liverpool sio bure.
YNWA
Kitu chenye kinaifanya Liverpool iendelee kubaki uefa ni masaa tu nayo yamekalibia kuisha.Walete walete
Leo tutavaa rangi yetu Red
Yeyote atakayepita kati yetu ni kichapo tu.
Ule mpira tuliwachezea nyumbu utd
Tutawachezea zaidi ya ule leo
Mtaamua wenyewe mzike au muache
YNWA[emoji91][emoji91][emoji91]
Mtatangazaje sasa wakati timu linapigwa mpaka na waburuza mikia.Mmefunga katimu ka ajabu huko mpo mnatamba
Sisi ushindi wetu hatujahangaika kuutangaza,
Unajitangaza wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua mpira lakini?Kitu chenye kinaifanya Liverpool iendelee kubaki uefa ni masaa tu nayo yamekalibia kuisha.
sio muda story inaenda kuchange kuwa mnaenda ueropa au conference.View attachment 2552193
Arthur Melo yuko wapi [emoji848]Ni mbaya aisee dogo anaweza kua nje kwa mwezi au zaidi.
Huyu pepo wa majanga kwa hawa wachezaji ameweka kituo Liverpool sio bure.
YNWA
Tukishinda lazima ukione cha moto
💥💥💥💥💥Walete walete
Leo tutavaa rangi yetu Red
Yeyote atakayepita kati yetu ni kichapo tu.
Ule mpira tuliwachezea nyumbu utd
Tutawachezea zaidi ya ule leo
Mtaamua wenyewe mzike au muache
YNWA![]()
![]()
![]()
Hivi leo eneo la kiungo waliopo ni akina nani?Ni mbaya aisee dogo anaweza kua nje kwa mwezi au zaidi.
Huyu pepo wa majanga kwa hawa wachezaji ameweka kituo Liverpool sio bure.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]