Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwamba no UEFA and EUROPA for LIFE kwa Arsenal [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kimoja cha nguruwe kinauma bhana [emoji23]
Hebu ondoa hiyo wakubwa
Wakubwa hawawezi chapwa bao Saba Kwa nunge na hakuna kitu wanafanya.
Kama ni wakubwa basi Sema makubwa jinger🀣
 
Ndiyo soka ina mambo yasiyo tarajiwa!
Tunajipanga mechi ijayo na waacheni Liverpool feki wazidi itukana team!

Liverpool HALISI tuendelee kuwa nyuma ya team,vijana hawana msimu mzuri lkn wanapambana sana
 
Livakuku nyie ni wanangu, tumepigwa wote mechi kadhaa yani tumepita wote kwenye msoto poleni sana vumilieni wanangu Klopp Mitano tena mpeni ela ya usajili muwe na likikosi kama la la Chelsea hehehehe ivi bado kuna mbanga yeyote ayiogopi Chelsea?!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndiyo soka ina mambo yasiyo tarajiwa!
Tunajipanga mechi ijayo na waacheni Liverpool feki wazidi itukana team!

Liverpool HALISI tuendelee kuwa nyuma ya team,vijana hawana msimu mzuri lkn wanapambana sana
Sisi Livakuku halisi tutabeba EPL na UEFA. Wale fake wakalalee mberee..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…