Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Jana ilikua kwanza kujiweka sawa pointi na goal difference kuisaka Top 4 na hilo limefanikiwa with a bonus ya goli 7 kwa sufuri...Nlkwambia you had to dream about bernabeu and you have to believe tunaweza tusishinde
But Atleast we have shown them some respect
Saint Anne jamaa yako huyu hapa njoo umliwaze umwambie 1 day yes..Saivi naishi maisha magumu sana mkuu apa nasubiri msimu uishe tu nianze kutamba tena
Angalau nimemuona Nimepata amaniSaint Anne jamaa yako huyu hapa njoo umliwaze umwambie 1 day yes..
Umejaza quality kwenye timu yako hua sio rahisi kivile uwe na wachezaji wengi vile bila preseason mkawa salama aisee pia tatizo la lugha mbinu za mwalimu kueleweka nali linawagharimu parefu.
YNWA
Kamchekia allypipi kama presha imemuacha salama.Unajua nikitoka hapa nimepanic
Napitia nyuzi nyingine za football
Nakuta Nako hali ni mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi natulia.
Hawa watoto wakicheza kila siku kama walivyocheza janaJana ilikua kwanza kujiweka sawa pointi na goal difference kuisaka Top 4 na hilo limefanikiwa with a bonus ya goli 7 kwa sufuri...
Kuwafunga Manchester United goli 7 wakiwa kwenye momentum ujue ni big plus plus kwetu. Sasa kazi kwa Klopp kuhakikisha viwango vya wachezaji wetu vinabakia pale pale kwa kumaliza ligi kwa kishindo.
YNWA
Allypipi mapema sana amezimiaKamchekia allypipi kama presha imemuacha salama.
Ni kweli tuna hali mbaya maana tulizoea kua kwenye mbio za ubingwa lakini msimu mambo yamekua sio kabisa mpaka angalau sasa gemu ya nne EPL tuna clean sheet na ushindi mnono kama jana sio haba ina maana kuna hatua kadhaa tumefanikiwa
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 😂 GP amevaa viatu sio saizi yake alizoea timu yenye lengo moja tu kubakia EPL sasa kule alipo wana mahitaji mengi sana UCL, EPL nk mpaka aje kuwa sawa itamchukua muda... Tetesi ni kwamba wanamtazama Enrique kocha wa zamani wa Barcelona atue pale.Angalau nimemuona Nimepata amani
Nilihisi tayari amejinyonga😂😂
Hivi wako na uhakika GP ni mwalimu kweli?
😂😂😂😂Jana Henderson wako hakuamini kupewa nod mbele ya Bajectic alijua Klopp anatania hahaha.Hawa watoto wakicheza kila siku kama walivyocheza jana
Hakuna mtu atatukamata duniani hapa🔥
😂 😂 😂 😂 Ana kombe la Carabao asihangaike sana na kipigo cha jana kitawapa darasa kwamba Anfield sio mahala pa maneno maneno bila vitendo kichapo lazima... allypipi angalau una kakombe kamoko usiwe na presha sana.Allypipi mapema sana amezimia
Mapigo ya moyo yapo juu.
Sasahivi natembea kifua mbele
Lete kima yoyote mbele yetu,ni kuchinja tu😂😂😂😂😂
Safi sana, ujumbe umefikaView attachment 2538493
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yankees wasepe tu hakuna namna.
FSG out.
YNWA
Juzi Arsenane akifunga goli la ushindi nilichekia mechi hapo Kibozone, jana nilihamia Sinza. 😄Najuta kutokwenda kibanda umiza Leo
Nani yupo hapa kibozone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakunywa bia Leo[emoji23][emoji119][emoji4][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mechi nyingine ya Liver mapema sana nitawahiJuzi Arsenane akifunga goli la ushindi nilichekia mechi hapo Kibozone, jana nilihamia Sinza. [emoji1]
Kale sijui kalastborn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ana kombe la Carabao asihangaike sana na kipigo cha jana kitawapa darasa kwamba Anfield sio mahala pa maneno maneno bila vitendo kichapo lazima... allypipi angalau una kakombe kamoko usiwe na presha sana.
Yule Captain wao Fernandos sio mzima kabisa ina maana huyu hajapewa dodoo na ma Kapteni wa zamani kwamba kulialia kujiangusha hovyo sio mbinu ya mpira maana jana akishindwa kucheza mpira akawa anasubiri huruma ya refa bure kabisaaa... Ni dhahiri Manchester United bado hawajapata Captain wa kueleweka maana akiwa kiongozi wao uwanjani kuna vitabia fulani hivi anatakiwa asiwe nazo na tena gemu yenye ushindani kama Manchester United vs Liverpool...
YNWA
Utanenepeana Madame ushindwe kuona Goli 9 za msimu ujao.. maana msimu uliopita tuliwapiga 5 msimu huu 7 so zinaongezeka Goli kila msimuMechi nyingine ya Liver mapema sana nitawahi
Tukishinda tu aisee nyama choma zitanikoma na grand malt.
Bajcetic [emoji39][emoji39][emoji39]Zamani mkuu,saa ivi timu nzuri inashinda.liverpool baada ya mane kuondoka jota na Diaz wakapata injury.kwa iyo kukawa hakuna back ya mane.lkn Sasa ivi chemistry ya Salah,Nunez na gakpo inaanza kukolea.kiungo Kiko imara sana hendo,faby + Elliot au bajcetic YNWA [emoji2935] [emoji2935][emoji2935][emoji2935]
Salah jana kacheza dynamically aisee maana alikuwa anadefence na kushambulia walishindwa kuelewa wamkabe vipi [emoji1787][emoji1787], kila wakishika mpira manjesta liva nao hawakuwa nyuma ku recover na kupeleka mashambulizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana Henderson wako hakuamini kupewa nod mbele ya Bajectic alijua Klopp anatania hahaha.
Jana ulimuona Salah akirudi nyuma kusaidia majukumu yake defence na huyo Gakpo mara false 9 mara winga kwa kweli mabeki wa Manjesta hawakuelewa wambane vipi...
Mambo ni [emoji91] [emoji91]
YNWA
Unakunywa bia karibu na ofisi yako ili likitokea lolote unawahi chap😅😅😅Najuta kutokwenda kibanda umiza Leo
Nani yupo hapa kibozone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakunywa bia Leo[emoji23][emoji119][emoji4][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wametuwakilisha vema kwa kweli.daaah oyaaaaaaa wanangu mnaroho nzuri sana, nyie jana mmefanya jambo jema si,,,, mnaona eenhe mjini kumetulia
Hahaha.
Mpewe ulinzi wa milele,,, [emoji847][emoji847]
Na washukuru sana kwa kweli.