Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuna game ngumu week hii na Bournmouth,tuendelee kuwa nyuma ya team na tuwe tayari kupokea matokeo yyt yale!

‘Bournmouth is very hard to beat-Kocha Klopp’
 
Timu ingetolewa tu uwanjani mapema 1st half, tisingefika huku ndugu zangu 😂
 

Attachments

  • Screenshot_20230306-074540.jpg
    53 KB · Views: 13
Kile Kipara atakikuna sana leo na maswali mengi bila majibu.

Uzuri wa EPL haina matokeo ya kujipa kichwa utaona Manchester City anatoa sare Nottingham Forest na Liverpool anachapwa na Leeds nyumbani yaaani EPL ni habari nyingine kabisaa.

YNWA
Zamani mkuu,saa ivi timu nzuri inashinda.liverpool baada ya mane kuondoka jota na Diaz wakapata injury.kwa iyo kukawa hakuna back ya mane.lkn Sasa ivi chemistry ya Salah,Nunez na gakpo inaanza kukolea.kiungo Kiko imara sana hendo,faby + Elliot au bajcetic YNWA [emoji2935] [emoji2935][emoji2935][emoji2935]
 
Ahahah hakuna ukweli wowote.
Klopp kaja Liverpool league ipo katikati baada ya kumfukuza BR,kwa hiyo hao wachezaji hakua nao ktk pre season wala hakuwaandaa!

Haag kawaandaa hawa wqchezaji toka pre season na wengine kawaleta yy.
Malizia na kapewa kibunda Cha €250m asajili
 
Kilichobaki tukawachomoe Newcastle na Spurs pale juu wasilete jam ili tutulie kwa Amani kabisa
Kabisa Mkuu sie letu moja Big four na hatutanii.

Spurs na Newcastle moto kama gari ya dizeli wakati wa baridi.

Msimu huu ushindi wetu ni kumchapa Manchester United rekodi ya magoli 7 hii sio haba na ni tamu ajabu.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…