King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Kama arsenal ana matumaini ya ubingwa kwa magoli ya lala salama na point zake 2 mkononi itakuwa man utd ambayo imechanganya kama treni la umeme lililokata break kimatokeo?
Manure ni Treni ya Mkaa wa mawe
