Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230305_220849.jpg


Numbisa ni mpira tu aise una matokeo fulani fulani hivi...

Take its easy you live to fight another day.

YNWA
 
Aliongea dharau Sana ,hapo kina Wenger wamekaa miaka 20+ EPL lakini wanapaheshimu na sio kwamba walikuwa hawashindi ANFLIED
Huyu ETG ana mdomo mdomo sana na ukizingatia matokeo yabamwedea vyema basi akajiona ni wakati wake kutawala nyumbani na ugenini... Next time atakuja kwa heshima na aache bla bla.

YNWA
 
Dah bobby
I wish abaki Bobby jamani
Mara mia tumgawe Hendo
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️Bobby kaangalia maslahi mapana ya Liverpool hakua mbinafsi na baada ya kuona tupo kwenye mikono salama ya Nunez, Jota na Gakpo ameamua kuodoka zake akacheze kwingine na amegoma kuanzisha mazungumzo yoyote na timu yoyote ile mpaka ligi iishe kwa kuheshimu mkataba wake na Liverpool...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom