Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kompany ana around 35yrs alicheza na Milner pale Manchester City ni mdogo pia kuliko Milner akastaafu akaingia job amazing challenging ya ukocha na sasa ni kocha wa Burnley akiwa na uhakika wa kuwarudisha EPL msimu ujao lakini mjukuu wa Malkia Milner bado tunae aisee huku Klopp akikomaa dogo babu apewe mwaka mmoja tena utadhani anacheza kama Messi yaani haya ni mambo ambayo Klopp hua anakosea sana sana kung'ang'ania wachezaji wazeeeee wasio kua na msaada kwa sasa.Kuna mijitu imeshikilia Liverpool kama gundi
Sijui wanataka hadi wafie kwenye hii timu
Utashangaa Milner anabaki![]()
YNWA






Arthur Melo, also expected to leave; #LFC are not planning to trigger the buy option.