Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo ni kuongeza tu confidence kwa wachezaji maana kwenye ligi kumfunga Liverpool akiwa nyumbani huwa ni ngumu sana.

Hata mimi shabiki tu mechi ya leo naiona ni ngumu japokuwa United tupo kwenye muendelezo wa matokeo mazuri na Liverpool ikisuasua ila North-West Derby pale Anfield ni mechi ya tofauti kabisa.

Tukiondoka na points 3 nitaamini kweli Liverpool imeisha.

Babu Milner weee!!! 😂
Huku kumtaja Milner jamani kweli leo Klopp atampanga tu maana anavyosakwa acheze ili mtuchape safii maana kwanza kachoka kingine huyu soon atakula umeme huyu.

Manchester United mkishindwa kutupiga tukiwa na hali hii basi huo ubingwa naona muwachie Arsenal apambane na Manchester City maana tuweke maneno ya kishabiki pembeni Liverpool tuna hali mbaya sana kuzima au kuzuia timu imekua ni kitendawili kabisa msimu huu.

Ni kweli ni Derby ya aina yake hii ina mvuto ina presha kubwa upande mmoja yupo ETG kuanza kuweka misingi ya dynasty yake EPL n upande mwingine yupo Klopp anaepambana kuonyesha hana nuksi na eti msimu wa 7 kukosa kibarua kama ilivyo kua BVB na Mainz...

Itakua gemu murwa sana kwa kua hakuna anaetaka sare hapa zaidi ya ushindi.

YNWA
 
Akawaulize wenzie waliowahi kuidharau Anfield Atmosphere
Itapendeza akipigwa ili wakati ujao awe na heshima...
ETG kamtimua Ronaldo na ushindi upo hili linampa sana jeuri maana Ronaldo alijiona irreplaceable pale kumbe wakati umekwenda kaodoka Rashford akatoka kwenye kivuli chake na kuanza kuchukua majukumu pale mbele ya kusaka ushindi na kujituma zaidi...
ETG kumtimua Ronaldo, kua na msimu safi, kumfunga Barcelona, kuchukua Carabao pote huko kunampa ma confidence sanaaa huku akiwa na sikio la Fergie anaona kabisa kashatoboa huyu... Klopp tafadhali mtie break aelewe hii Red Territory.

YNWA
 
Milner ana uzoefu wa kuwafunga Manchester United eti .. Khaa iwe Milner vs Rashford wewe unataka kumtoa maini Milner sio bure...

Henderson ni kiongozi mzuri na muhamasishaji mzuri sana uwanjani so they say wale wanaomtetea asa unajiuliza who needs that wakati tunataka stat proof za nini amefanya uwanjani yaaani bure kabisa.. Kapotea Fabinho nae Henderson kapoteana ina maana dogo anatembelea nyota za wengine huyu.. Klopp atampanga akidhani anaweza kutoa tena assist kama ile ya last season ambayo naona hua anaota kabisa maana hata yeye hakuamini kama ni assist mpaka anafunga Salah lile goli.

Endapo Klopp ataingia na MF Henderson Fabinho Keita basi mapema ETG ushindi ni wake kwa kua hawa viwango kama vipo sawa kwa sasa.

YNWA
Klopp mwenyewe anakwambia unawezaje kumuanzisha captain wako benchi?
Tusubirie tu maumivu hapa

Sema Kuna muda huwa linabahatisha
Hadi unashangaa kuwa huyu kafanya hivi ni Hendo kweli?
 
Hahahaaaa we muache anyatie nyatie tu yakimkuta shauli yake sisi niwashabiki tu ila mwenye kibarua niyeye. Arthur melo sijui kacheza game ngapi tu
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Klopp sijui ni dalali ama vipi yaaani like serious eti Kante i hope hizi ni jaja za kambi ya Kante kuwakamua vilivyo Chelsea watoe mshahara mnono tunahitaji kabisa kuodokana na hawa wagonjwa wanatufelisha sana kwa kua tuna bench dhaifu tunakosa like for like substitution kwa mfano pale MF nani sasa ana output ya Thiago...hakuna kabisa.

Melo amecheza dakika 13 tu kikosi cha kwanza tangu atue ile Mechi ya Liverpool vs Napoli kule Naples.. huyu mkopo wake kutoka Juventus utaigharimu Liverpool £3m..kwa sasa amepona na anacheza na ma junior hukooo na Klopp kashamwambia atarejea Juventus mkopo ukiisha June 2023.

YNWA
 

Sema huyu baba ni mbaya.
Sijui atakuja na mbinu gani

Ila tutamkomesha.

Wakishinda leo nitaugua.
Hahaha wala huumwi Miss Liverpool kwa hali yetu kama unavyoijua kumbali kila hali na siku zinasonga ujue June 2023 itafika tu tuone Klopp na ma Yankees wanaingia aje sokoni kujenga kikosi cha ushindi...

Huu msimu sisi ni washiriki na sio washindani kabisaaa tupo kugawa pointi kwa wenye kujipanga vyema ndio maana mwenzio sina hata presha...

YNWA
 
Klopp mwenyewe anakwambia unawezaje kumuanzisha captain wako benchi?
Tusubirie tu maumivu hapa

Sema Kuna muda huwa linabahatisha
Hadi unashangaa kuwa huyu kafanya hivi ni Hendo kweli?
Kiwango cha mpira cha Henderson ni kama mafua ya vumbi yaaani pale unasema yamekata unashangaa haya hapa tenaa kwamba anatoa assist muda huo huo ukisema aa huyu wa nini atoke njeee basi kismati kinatua kwake... Hatuweza kutegemea kismati kama kile aisee huku kuna askari kanzu pale Casmiro anakimbiza mpaka kivuli lol kazi ipo.

YNWA
 
Kiwango cha mpira cha Henderson ni kama mafua ya vumbi yaaani pale unasema yamekata unashangaa haya hapa tenaa kwamba anatoa assist muda huo huo ukisema aa huyu wa nini atoke njeee basi kismati kinatua kwake... Hatuweza kutegemea kismati kama kile aisee huku kuna askari kanzu pale Casmiro anakimbiza mpaka kivuli lol kazi ipo.

YNWA

Ngoja leo tuone.
 
Kila mtu apambane na mechi zake sio mtegemee tumpige man u ili nyie mpande, na bora tupigwe tu
Nyie mpigeni tu ili sisi tukifungwa huko mbeleni isiwe rahisi sana yeye kutufikia. Hata hivyo sisi tunaelewa kuwa Kila mtu apambane na Hali yake ndiyo maana vijana wetu wanapambana haswa kushinda hata tukiwa goli 2 nyuma
 
Shughuli ipo.

Ila mpira wa united kwa sasa ni mkali sana
Na hayachoki yaani.

Timu yetu ikicheza kawaida kama tunavyofanya utani na akina Hendo,tutachapwa.
Tukijikaza sana labda tunaweza pata draw au tukashinda.
Ety mshinde ! Wew bibie upo serious kweli au unaota!
 
View attachment 2537702

Anfield ipi wanaozungumza hii hii ambayo hua wanapigika mara kibao ama nwa kwa hali yetu sasa wakikomaa sana wanaweza kutoka na chochote...

YNWA
Dah huo uwanja wenu sijui kuna nini.
Hata kipindi cha SAF, tulikuwa tukija hapo.
Kushinda sana ni Goal 2.
Tofauti na hapo Sare na Kipigo.

Kocha ambae alijitahidi hapo ni LVG, mdutch.
Labda na ETH atafanya kama LVG.
 
13dcb0ea-eb13-4301-b79d-b3dfcad613a3.jpg

Kumbe ni Liverpool damu sawa game ni saa 1
 
Dah huo uwanja wenu sijui kuna nini.
Hata kipindi cha SAF, tulikuwa tukija hapo.
Kushinda sana ni Goal 2.
Tofauti na hapo Sare na Kipigo.

Kocha ambae alijitahidi hapo ni LVG, mdutch.
Labda na ETH atafanya kama LVG.
Waaa LVG alitujulia sana akiwa na prime Mata ilikua shinda sana hakua ja stress mechi vs Liverpool...

Kwa sasa hatupo kwenye kiwango bora sana hivyo mnapewa nafasi kubwa kushinda na uzuri ni kwamba matokeo msimu huu yanaonyesha wakati sisi tumerudi Liverpool ya 2015 nyie mmesogea mbele sana tofauti na matarajio ya wengi hata nyie wenyewe hamuamini mnachokiona uwanjani mmeji sapraiz wenyewe kwa utulivu na mipango.

Lakini kwa kua hii ni Derby basi lolote linawezekana kimatokeo...

Ni saa moja unusu mambo bam bam burudani safii sana.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom