Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha Mpemba ni pure Red Devil flesh n blood hivyo ni sworn enemy wa Kops army yaaani kama namuona atakavyomkibiza Trent japo kwa gemu kama hii tension hua zipo juu sana ndio maana nikakujuza kwa kua wote vikosi vipo almost complete timu itakayokua na prepared mind ndio mshindi na pia bahati nayo iwe upande wetu...

Nunez ana jambo lake na hawa jamaa anataka kujitangaza kwamba sio flop kwa kuwafunga mahasimu wetu...

Atakaekamata pale kati ndio mshindi wa hii gemu..

Rashford vs Nunez...nani atafumunia nyavu na kuleta ushindi.

YNWA
Shughuli ipo.

Ila mpira wa united kwa sasa ni mkali sana
Na hayachoki yaani.

Timu yetu ikicheza kawaida kama tunavyofanya utani na akina Hendo,tutachapwa.
Tukijikaza sana labda tunaweza pata draw au tukashinda.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe na Henderson haha jamani huyu mzoee tu kwamba unae sana tu haedi kokote mpaka 2027 😔 😔 😔 😔...

Ni kweli kwa sasa ETG mbinu zake zinaeleweka na wachezaji wake na angalau wamekua na wakati mwema mwaka huu kwa msaada mkubwa sana wa Rashford na ukuta imara... Kazi yetu moja tu kuzima mipira isifike kwa Rashford ina maana tukimbie zaidi tukiwa hatuna mpira ili kuziba mianya yote endapo wachezaji wetu wataruhusu hawa jamaa watazidi kwenye ball recovery, ball retention, easy transition nk basi tujue mapema tu kwamba ETG atatoka kifua mbele..

Miss Liverpool nipe kikosi chako leo bila shaka Henderson naona hayumo😝😝😝

YNWA
 
Wewe na Henderson haha jamani huyu mzoee tu kwamba unae sana tu haedi kokote mpaka 2027 ...

Ni kweli kwa sasa ETG mbinu zake zinaeleweka na wachezaji wake na angalau wamekua na wakati mwema mwaka huu kwa msaada mkubwa sana wa Rashford na ukuta imara... Kazi yetu moja tu kuzima mipira isifike kwa Rashford ina maana tukimbie zaidi tukiwa hatuna mpira ili kuziba mianya yote endapo wachezaji wetu wataruhusu hawa jamaa watazidi kwenye ball recovery, ball retention, easy transition nk basi tujue mapema tu kwamba ETG atatoka kifua mbele..

Miss Liverpool nipe kikosi chako leo bila shaka Henderson naona hayumo

YNWA
Hendo ndani
Milner ndani.

Na tunasubiri tuwafunge UTD,nyie
Haya ngoja tuone.

Unajua Nunez anaweza perform kwa nguvu zake zote,akina Salah wakapambana weee
Ila huyu nyuma yapo ya kina Milner.
Hakuna mpira tutacheza hapo.
 
Its takes just one single wrong pass, 1 through ball, 1 corner, 1 Trent super pass nk kuwakata hio momentum hawa jamaa ishu ipo kwetu ndugu hatuna uwezo wa kubana tusipigwe under presha kwa dakika 90+ yaaani huo ubavu hatuna...

Sijui huko mazoezini Klopp atakua kaja ni lipi kusaka ushindi muhimu ila kama 4 3 3 ndio chaguo lake sina hakika sana kama tutakua salama...

Kwa kasi na momentum ya Red Devils ni dhahiri hawa wachezewe 4 4 2 ama 4 3 2 1.

Waleteeeee.

YNWA
Usiwawazie saanaa hawa. We pigaaa tuu
 
Hendo ndani
Milner ndani.

Na tunasubiri tuwafunge UTD,nyie
Haya ngoja tuone.

Unajua Nunez anaweza perform kwa nguvu zake zote,akina Salah wakapambana weee
Ila huyu nyuma yapo ya kina Milner.
Hakuna mpira tutacheza hapo.
Milner ana uzoefu wa kuwafunga Manchester United eti 🤣🤣.. Khaa iwe Milner vs Rashford wewe unataka kumtoa maini Milner sio bure...

Henderson ni kiongozi mzuri na muhamasishaji mzuri sana uwanjani so they say wale wanaomtetea asa unajiuliza who needs that wakati tunataka stat proof za nini amefanya uwanjani yaaani bure kabisa.. Kapotea Fabinho nae Henderson kapoteana ina maana dogo anatembelea nyota za wengine huyu.. Klopp atampanga akidhani anaweza kutoa tena assist kama ile ya last season ambayo naona hua anaota kabisa maana hata yeye hakuamini kama ni assist mpaka anafunga Salah lile goli.

Endapo Klopp ataingia na MF Henderson Fabinho Keita basi mapema ETG ushindi ni wake kwa kua hawa viwango kama vipo sawa kwa sasa.

YNWA
 
Screenshot_20230304_210421_com.android.chrome_edit_695668201943844.jpg

Kwa hio baada ya kushinda Carabao huyu anajiona ni Fergie mzee wa hair dryer aisee haya maneno yake ajitazame sana ana safari ndefu sana.

YNWA
 
Screenshot_20230305_084837_com.android.chrome_edit_695644647157910.jpg

The Real GOAT with superb left foot. Goal ratio yake inatisha. Dalili ilikua arejee Barcelona lakini naona akikwama hilo kwa kua klabu yenyewe ipo tete sana kipesa.

Ronaldo atakomaa kucheza mpaka asikie Messi anastaafu bila kuvuja baadhi ya rekodi zake...

YNWA
 
Moja ya mambo ambayo hua yanishangaza sana ni Klopp kutoa ruhusa baadhi ya hawa wachezaji wanunuliwe kwa mfano Thiago, Melo, Ox hawa hata kabla hawajaja Liverpool rekodi zao za majeruhi zinajulikana vyema sana lakini klabu yenye kikosi kiduchu inakwenda mazima kuwanunua ni ajali kazini kwa sababu hawatoboi bila majeraha ya mara kwa mara.

Aafu unasoma mahala eti Klopp anamnyatia Kante ndio unachoka kabisa

YNWA
Hahahaaaa we muache anyatie nyatie tu yakimkuta shauli yake sisi niwashabiki tu ila mwenye kibarua niyeye. Arthur melo sijui kacheza game ngapi tu
 
View attachment 2537792
Kwa hio baada ya kushinda Carabao huyu anajiona ni Fergie mzee wa hair dryer aisee haya maneno yake ajitazame sana ana safari ndefu sana.

YNWA
Hiyo ni kuongeza tu confidence kwa wachezaji maana kwenye ligi kumfunga Liverpool akiwa nyumbani huwa ni ngumu sana.

Hata mimi shabiki tu mechi ya leo naiona ni ngumu japokuwa United tupo kwenye muendelezo wa matokeo mazuri na Liverpool ikisuasua ila North-West Derby pale Anfield ni mechi ya tofauti kabisa.

Tukiondoka na points 3 nitaamini kweli Liverpool imeisha.

Babu Milner weee!!! 😂
 
Hahaha Mpemba ni pure Red Devil flesh n blood hivyo ni sworn enemy wa Kops army yaaani kama namuona atakavyomkibiza Trent japo kwa gemu kama hii tension hua zipo juu sana ndio maana nikakujuza kwa kua wote vikosi vipo almost complete timu itakayokua na prepared mind ndio mshindi na pia bahati nayo iwe upande wetu...

Nunez ana jambo lake na hawa jamaa anataka kujitangaza kwamba sio flop kwa kuwafunga mahasimu wetu...

Atakaekamata pale kati ndio mshindi wa hii gemu..

Rashford vs Nunez...nani atafumunia nyavu na kuleta ushindi.

YNWA
Luka SHOW
Zimwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom