Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
YNWA ❤️
Uko sahihi kabisa.Waaa LVG alitujulia sana akiwa na prime Mata ilikua shinda sana hakua ja stress mechi vs Liverpool...
Kwa sasa hatupo kwenye kiwango bora sana hivyo mnapewa nafasi kubwa kushinda na uzuri ni kwamba matokeo msimu huu yanaonyesha wakati sisi tumerudi Liverpool ya 2015 nyie mmesogea mbele sana tofauti na matarajio ya wengi hata nyie wenyewe hamuamini mnachokiona uwanjani mmeji sapraiz wenyewe kwa utulivu na mipango.
Lakini kwa kua hii ni Derby basi lolote linawezekana kimatokeo...
Ni saa moja unusu mambo bam bam burudani safii sana.
YNWA





Klopp mwenyewe anakwambia unawezaje kumuanzisha captain wako benchi?
Tusubirie tu maumivu hapa
Sema Kuna muda huwa linabahatisha
Hadi unashangaa kuwa huyu kafanya hivi ni Hendo kweli?




Ujio wa Casmiro na msimamo dhabiti wa ETG kuodoa hawa vijana kutembelea historia ya timu yenu kwa kuwaaminisha kwamba hata wao wanaocheza sasa wanaweza kutengeneza histori yao kwa kujituma sana na kusikiliza maelekezo yake na leo hii ma dogo wanapambana hata iwe dakika 85 wanajua ushindi upo tu.. Namtazama Sancho yule wa BVB anaanza kuonekana sasa ina maana mbinu za mwalimu zinaeleweka vyema na anacheza na mfumo unaowezekana wa counter attacking game na hili msimu limetusumbua sana gemu nyingi tu kama ile ya Real Madrid, Brighton nk...Uko sahihi kabisa.
Binafsi nimezoea kuingia kwenye derby kama hii, Man U akiwa underdog. Hii ni experience mpya hadi inanipa wasiwasi.
Anyway, ngoja tusubiri hiyo saa moja.
Subiri utaona kazi yetuEty mshinde ! Wew bibie upo serious kweli au unaota!
Mkuu Captain Marvelous mbona unakwenda mbele na kurudi nyuma tena? Kuna wakati unakubali man utd imeimarika ila kuna kipindi ushabiki unakumeza unarudi kwenye default yenu KOPS.Ujio wa Casmiro na msimamo dhabiti wa ETG kuodoa hawa vijana kutembelea historia ya timu yenu kwa kuwaaminisha kwamba hata wao wanaocheza sasa wanaweza kutengeneza histori yao kwa kujituma sana na kusikiliza maelekezo yake na leo hii ma dogo wanapambana hata iwe dakika 85 wanajua ushindi upo tu.. Namtazama Sancho yule wa BVB anaanza kuonekana sasa ina maana mbinu za mwalimu zinaeleweka vyema na anacheza na mfumo unaowezekana wa counter attacking game na hili msimu limetusumbua sana gemu nyingi tu kama ile ya Real Madrid, Brighton nk...
Kama kuna kocha anaeweza kupindua matokeo mambaya uwanjani ni Klopp hivyo kwa nyongeza tu ni kwamba mashabiki wa Manchester United wawe na maneno ya akiba.
YNWA
Kama arsenal ana matumaini ya ubingwa kwa magoli ya lala salama na point zake 2 mkononi itakuwa man utd ambayo imechanganya kama treni la umeme lililokata break kimatokeo?Manure kumbe na wao wanajipa False Hope kwenye Ubingwa?
Hii game tunashinda acha hofuShughuli ipo.
Ila mpira wa united kwa sasa ni mkali sana
Na hayachoki yaani.
Timu yetu ikicheza kawaida kama tunavyofanya utani na akina Hendo,tutachapwa.
Tukijikaza sana labda tunaweza pata draw au tukashinda.
Hana uwezo huoToka Klop aje Liverpool
Makocha SITA Tu wamepata ushindi Anfield kwenye ligi
Ten Hag atakuwa wa saba?
Hao wachezaji wa mpira, we tulia uone anavyokimbizwa mtu hapo katiTumeshafungwa kwa kumuanzisha Elliot na Henderson kwenye Midfielders
Liverpool msituangushe tafadhali![]()