Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi tumeng'ang'ania kumjaza sifa Klopp anayewapanga akina Milner na Hendo
Na tunapigwa Kila siku,hakuna mabadiliko
Ila tumeng'ang'ania kusema in Klopp we believe

Kweli uchawi upo
🤣🤣🤣🤣Hua nikimuona Milner nawaza hii ni mechi 'kweli' ama ni mechi ya kirafiki maana babu kashachoka ilikua wepesi sana angeachiwa June 2022 maana msimu ukiniuliza contribution yake Liverpool uwanjani sioni.. Zaidi ya kula wachezaji pinzani viatu huku marefa wanaona hata huruma kumpa kadi wakati mwingine...
Msimu uliopita Milner alisabisha sare na Chelsea kwa kumla kiatu Pulisc wakapiga mpira wa adhabu kuokolewa ukatua kwa Kovic dogo akanyoosha moja ya goli murwa sana last season mpaka pale Milner alikuwa wa kutemwa kwa sababu yeye na Henderson nadhani kwa makosa yao kushababisha magoli itakua zaidi ya goli 10 hapa Liverpool..

Klopp tulipo ameyataka mwenyewe kung'ang'ania wachezaji wachovu..

Kama akitemwa hakika hana wa kumlaumu.

YNWA
 
Hua nikimuona Milner nawaza hii ni mechi 'kweli' ama ni mechi ya kirafiki maana babu kashachoka ilikua wepesi sana angeachiwa June 2022 maana msimu ukiniuliza contribution yake Liverpool uwanjani sioni.. Zaidi ya kula wachezaji pinzani viatu huku marefa wanaona hata huruma kumpa kadi wakati mwingine...
Msimu uliopita Milner alisabisha sare na Chelsea kwa kumla kiatu Pulisc wakapiga mpira wa adhabu kuokolewa ukatua kwa Kovic dogo akanyoosha moja ya goli murwa sana last season mpaka pale Milner alikuwa wa kutemwa kwa sababu yeye na Henderson nadhani kwa makosa yao kushababisha magoli itakua zaidi ya goli 10 hapa Liverpool..

Klopp tulipo ameyataka mwenyewe kung'ang'ania wachezaji wachovu..

Kama akitemwa hakika hana wa kumlaumu.

YNWA
Ila nashangaa humu wanasema Klopp kocha mzuri
Uzuri wake Nini wakati tunapigwa kila siku na amekaza fuvu?

Alipotufikisha inatosha aisee , tunamshukuru.
Aje apokee mwingine.
 
Ila nashangaa humu wanasema Klopp kocha mzuri
Uzuri wake Nini wakati tunapigwa kila siku na amekaza fuvu?

Alipotufikisha inatosha aisee , tunamshukuru.
Aje apokee mwingine.
Imani kwamba Klopp anaweza kutuletea mafanikio zaidi ni kwasababu Klopp amefanya kazi chini ya wabahiri FSG akishidana na Pep mwenye sapoti ya oil billions na hakika Klopp amejitahidi sana sana kuleta ushindani mpaka Kipara kusema hajawai kua na upinzani mkali katika maisha yake ya Ualimu kama ilivyo kua Manchester City vs Liverpool...
Sasa mashabiki tunatazama kwamba je Klopp nae akiwa sapoti ya pesa kama Kipara basi upo uwezekano akafanya makubwa sana Liverpool.

By the way ni probabilities zote hizi hatuna uhakika lakini binafsi nasema Klopp abakie ana awezeshwe sokoni kwa FSG kuuza hisa kadhaa kwa mwekezaji atakaeweza kuleta pesa za usajili..

Yeye mwenyewe yuko happy na kutowezeshwa
na anajiona Baba miujiza, na amewakumbatia magarasa
Aiseee huo ubora sijui mnauonaje kwake
 
Yeye mwenyewe yuko happy na kutowezeshwa
na anajiona Baba miujiza, na amewakumbatia magarasa
Aiseee huo ubora sijui mnauonaje kwake
Ina maana tuna makengeza...

Sisemi mpaka hata akipewa mpunga atatuweka juuu ingekua hivyo rahisi Chelsea angekua anaongoza Ligi kwa uwekezaji wao.. Ninachoangalia Klopp tangu atue Liverpool mara chache sana ameharibu kwenye kununua sana sana alikoharibu ni Karius, Keita, Thiago tu... Wengi alionunua walikua sio established lakini chini yake wamekua bora tazama Robertson, Mane, VVD, Allison, Salah, Gini, Fabinho nk kwa muda waliokaa klabuni wametetea jezi na baji ya Liverpool katika levo za juu sana.

Sasa kwa heshima ya old time sake let's give Klopp one more season akiwa backed properly tuone atatuweka wapii.

YNWA
 
Screenshot_20230227_213659_com.android.chrome_edit_499454624072744.jpg

🤣🤣🤣🤣Ila kweli itakua hata makufuli ya makumbusho pale Manchester United yalishapata na kutu maana walishasahau kabisa kuna makombe yakuingia huko.

Noma sanaaaa

YNWA
 
Klopp is Liverpool manager in the wrong time under FSG... Hawa ma Yankees ilitakiwa wamuajili Conte na kweli angewavuruga maana mzee hua mtu wa speaking his mind hanaga cha kupoteza wala maneno matamu matamu tofauti kabisa na Klopp ambae muda wote yeye husimama na FSG hata pale inaonyesha aki speak his mind itamsaidia sana Klopp wala hutamskia..

Ingekua bora kuuza mazima lakini ikishidikana basi hata hio partial payments itakua bora tu kwa hali tulionayo tunahitaji usajili June 2023
*Rignt Centre Back mmoja
*Central Midfielder mmoja
*Holding Midfielder mmoja
*Right Midfielder mmoja maana upande huu hua anacheza Henderson na hatoi ulinzi wa kutosha kwa Trent matokeo yake dogo anakua toasted.
*Right Winger ambao ni dynamic kucheza across the front all fonts.

Muda utasema mpaka June 2023 wawe wameuza otherwise kwa mara nyingine tena tutegemee msimu ujao utakua mbaya zaidi ya msimu huu wa sasa kwa sababu pia Newcastle, Manchester United, Manchester City, Arsenal, Chelsea, Tottenham watanunua kujiimarisha zaidi.

YNWA

Tunahitaji £300m, minmum.

Hizi links za Mason Mount, ndiyo zinanipa shaka sana, tunaweza kuwa na bad window, kama Mount akija.

Maana, Mount akija, it means Fabinho & Henderson watakuwa forced kubaki, pamoja na Bajcetic & Thiago, i mean siyo mbaya kama Fabinho akibaki, but sina uhakika kama anaweza kurudi kwenye form yake, ni bora tu-captalize sahiv kwa kina Caicedo, Kone, Ugarte etc, kuliko kuendelea na Fabinho next season, maana kama tuki-sign Jude, Nunes & Mount, tutakuwa hatuja-solve chochote kwenye eneo la DM, ambalo ndiyo BASE ya kiungo, Bajcetic is 18, we cant plan our next season with him at DM, NOT YET, na hatuwezi ku-plan our next season na the current Fabinho at DM, ingeeleweka kama angekuwa kwenye 26-27, but he will be 30 nex season, na yupo katika mbaya sana physically, kila nikimuangalia, sioni hata chembe chembe za Fabinho tunayemjua, na kinachomuangamiza zaidi, ni kupoteza pia confidence, i know he will be decent again akiwa surrounded na World Class players kwenye MF, but knowing FSG itakuwa ngumu sana kuleta new 6 kama Fabinho akibaki, and we cant risk kuacha kina Kone waende clubs zingine.

But, Jude-Mount & Nunes, wont solve anything, Thiago & Fabinho will still start a lot of games

Plan was to sign Jude for the RCM spot, ambapo Elliot & Henderson watakuwa rotational players kwenye hilo eneo, then sign Nunes at LCM, huyu ni long-term Thiago replacement, so kama akija next season atakuwa ana rotate na Thiago at LCM, then sign a mobile 6 (Caicedo & we have been in talks with Kone camp for quite sometime now, ndiyo maana nashangaa hizi new plans za Mount), Mount ni RCM, it means anacheza kwenye eneo la Jude, unless kama Klopp atataka kubadilisha game ya Mount, but sioni Mount akija LFC kuwa bench player, its either tu-abandon deal ya Nunes ili Mount awe moulded at LCM, maana Mount, Jude & Nunes, hai-make sense, especially ukizingatia wachezaji wanaobaki next season.

Assume, tume-wasign (ASSUME), Jude, Mount, Nunes, our MF options next summer zitakuwa ni;

Thiago
Fabinho
Bajcetic
Jude
Mount
Nunes
Curtis Jones
Harvey Elliott
Jordan Henderson

Hii MF, bado ina-lack a compact/Ball. winner/press-resistant/destroyer/Mobile & FIRST PASSER from our DM zone, meaning we need a DM, Fabinho can still do a job at DM especially kwenye suala la Ku-win balls & as a first & last destroyer, but his lack of physical presence will cost him katika ku-engage/being compact kwenye our first & second lines of press & different phases, read/counter transitions za opponents, getting out from FIRST PRUSSURE situations, second half against Madrid we lost everything kwenye MF, baada ya Carlo kuamua ku-double up players on Fabinho, put Valverde on his tail, minimizing his turns, ball receiving channels, and put first pressure on every ball anazopokea Fabinho, and it was easy because Fabinho is not mobile, ingekuwa easy kidogo kama Thiago angekuwepo ambaye huwa ana-engage sana in the middle because ya his positional awarness, but AGAIN, Fabinho had Henderson at RCM, so i think Fabinho will do good akiwa na young & hungry MFs around him, but we cant take risks, na kikubwa zaidi tu-captalize kwenye hii market now, kuna a lot of number 6s wapo sokoni, at a very good price, and good age.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2532114

😂😂😂😂😂😄😄

YNWA
Hizo teams zote zikishafikisha 40 points, zita-relax/slow down, maana zitakuwq safe kabisa from relegation zone, midtable clubs zote huwa zinaanza season kwa target ya kufikisha 40 points.

Sasa kwa Brighton & Fulham even Brentford, wakifika 40, wataanza ku-tazama Europa/conference league places, but they will slow down a bit.

We are going against Spurs & Newcastle, for the top four spot, so it shouldnt be that diffucult, we still have a strong strong shot at top 4, if we beat Wolves j5, tutakuwa 6 points behind Spurs.

16 games to go.

Diaz & Konate will be back soon.

Nunez, kashaipata form yake ya kabla. ya WC.

Problem ni MF, but solution ni kubadilisha formation now.
 
Klopp was stupid Jumanne alifanya mambo ya kitoto Sana I don't know what's wrong with him right now

Anahitaji kubadilisha formation now, just see out the season.

Mpaka kufikia mid-march, wachezaji wote watakuwa wamerudi from injuries, ni perfect time, ku-introduce new shapes, new ideas, new balance & new system.
 
Tunahitaji £300m, minmum.

Hizi links za Mason Mount, ndiyo zinanipa shaka sana, tunaweza kuwa na bad window, kama Mount akija.

Maana, Mount akija, it means Fabinho & Henderson watakuwa forced kubaki, pamoja na Bajcetic & Thiago, i mean siyo mbaya kama Fabinho akibaki, but sina uhakika kama anaweza kurudi kwenye form yake, ni bora tu-captalize sahiv kwa kina Caicedo, Kone, Ugarte etc, kuliko kuendelea na Fabinho next season, maana kama tuki-sign Jude, Nunes & Mount, tutakuwa hatuja-solve chochote kwenye eneo la DM, ambalo ndiyo BASE ya kiungo, Bajcetic is 18, we cant plan our next season with him at DM, NOT YET, na hatuwezi ku-plan our next season na the current Fabinho at DM, ingeeleweka kama angekuwa kwenye 26-27, but he will be 30 nex season, na yupo katika mbaya sana physically, kila nikimuangalia, sioni hata chembe chembe za Fabinho tunayemjua, na kinachomuangamiza zaidi, ni kupoteza pia confidence, i know he will be decent again akiwa surrounded na World Class players kwenye MF, but knowing FSG itakuwa ngumu sana kuleta new 6 kama Fabinho akibaki, and we cant risk kuacha kina Kone waende clubs zingine.

But, Jude-Mount & Nunes, wont solve anything, Thiago & Fabinho will still start a lot of games

Plan was to sign Jude for the RCM spot, ambapo Elliot & Henderson watakuwa rotational players kwenye hilo eneo, then sign Nunes at LCM, huyu ni long-term Thiago replacement, so kama akija next season atakuwa ana rotate na Thiago at LCM, then sign a mobile 6 (Caicedo & we have been in talks with Kone camp for quite sometime now, ndiyo maana nashangaa hizi new plans za Mount), Mount ni RCM, it means anacheza kwenye eneo la Jude, unless kama Klopp atataka kubadilisha game ya Mount, but sioni Mount akija LFC kuwa bench player, its either tu-abandon deal ya Nunes ili Mount awe moulded at LCM, maana Mount, Jude & Nunes, hai-make sense, especially ukizingatia wachezaji wanaobaki next season.

Assume, tume-wasign (ASSUME), Jude, Mount, Nunes, our MF options next summer zitakuwa ni;

Thiago
Fabinho
Bajcetic
Jude
Mount
Nunes
Curtis Jones
Harvey Elliott
Jordan Henderson

Hii MF, bado ina-lack a compact/Ball. winner/press-resistant/destroyer/Mobile & FIRST PASSER from our DM zone, meaning we need a DM, Fabinho can still do a job at DM especially kwenye suala la Ku-win balls & as a first & last destroyer, but his lack of physical presence will cost him katika ku-engage/being compact kwenye our first & second lines of press & different phases, read/counter transitions za opponents, getting out from FIRST PRUSSURE situations, second half against Madrid we lost everything kwenye MF, baada ya Carlo kuamua ku-double up players on Fabinho, put Valverde on his tail, minimizing his turns, ball receiving channels, and put first pressure on every ball anazopokea Fabinho, and it was easy because Fabinho is not mobile, ingekuwa easy kidogo kama Thiago angekuwepo ambaye huwa ana-engage sana in the middle because ya his positional awarness, but AGAIN, Fabinho had Henderson at RCM, so i think Fabinho will do good akiwa na young & hungry MFs around him, but we cant take risks, na kikubwa zaidi tu-captalize kwenye hii market now, kuna a lot of number 6s wapo sokoni, at a very good price, and good age.
Man wakati mwingine hizi media zina gossip za ajabu sana imagine eti Liverpool are waiting on the wings kumnasa Kante like serious Kante huyu ambae msimu huu hana hata gemu nne huyu si atakua Thiago, Matip kind of situation nwa lets just hope na camp ya Kante wanaleta hizi taarifa ili Chelsea walegee design kama Henderson na stori yake ya kwenda PSG bla bla....

Mount is overrated hana cha kutuongezea kwa sasa kwa kua tunahitaji dynamic signing ambazo watafanya makubwa pale kati kujenga spine ya team na Mount sio huyo mchezaji..

Klopp naona kila akiulizwa mipango ya June 2023 yupo really positive kwamba changes are coming from outside angalau aidha kama ndio anatupoza akijua fika ni danganya toto ya FSG basi hii itamgharimu parefu sana huyu babu... Hatutaki maneno mbali tunataka vitendo...

Media kadhaa wanakoma usajili wetu June 2023 ni Jude, Barella, Nunes hao kwa kweli kwa kua ndio chaguo la mwalimu as per different gossip.

YNWA
 
Klopp need new fresh mind assistant huyu Lijnder itakuwa anaumezea mate ukocha mkuu baada ya Klopp.

Kuna mahali niliandika Klopp needs new assistant. Kile kitabu alichoandika kuhusu pressing sikutokea kumuamini tena jamaa.

Even 4-2-3-1 inaweza kuleta positive results kuliko hiyo 4-3-3. I wish someone to open Klopp’s mind to ditch 4-3-3 until he gets fresh powerhouse legs.

4231 is ideal pia

Trent-VVD - Konate/Gomez-Kostas
Bajcetic/Fabinho-Thiago
Salah - Jota/Firmino/Fabio - Nunez
Gakpo

But, MF itakuwa so light-weight, Fabinho being out of shape/form, kunatuumiza sana.

Tactically, 433 ya klopp, shape yake kwenye MF, ni 2-1, a 3 man MF ambayo two MFs wana-sit in a Pivot, games zote ambazo Bajcetic kaanza this season, ni alikuwa ana-sit na Thiago, Thiago alivyoumia, Bajcetic amekuwa ana-sit na Fabinho, extra-man ni Hendo, wakati wa ile MF ya Thiago-Baj-Keita, extra-man alikuwa ni keita, last season ilikuwa the same, Fab na Thiago wana-sit in a 2, Hendo/Keita wana-play as extra-Man.

kwenye 4231, hatuna extra-man.
 
Man wakati mwingine hizi media zina gossip za ajabu sana imagine eti Liverpool are waiting on the wings kumnasa Kante like serious Kante huyu ambae msimu huu hana hata gemu nne huyu si atakua Thiago, Matip kind of situation nwa lets just hope na camp ya Kante wanaleta hizi taarifa ili Chelsea walegee design kama Henderson na stori yake ya kwenda PSG bla bla....

Mount is overrated hana cha kutuongezea kwa sasa kwa kua tunahitaji dynamic signing ambazo watafanya makubwa pale kati kujenga spine ya team na Mount sio huyo mchezaji..

Klopp naona kila akiulizwa mipango ya June 2023 yupo really positive kwamba changes are coming from outside angalau aidha kama ndio anatupoza akijua fika ni danganya toto ya FSG basi hii itamgharimu parefu sana huyu babu... Hatutaki maneno mbali tunataka vitendo...

Media kadhaa wanakoma usajili wetu June 2023 ni Jude, Barella, Nunes hao kwa kweli kwa kua ndio chaguo la mwalimu as per different gossip.

YNWA
Kante, even for free itakuwa ni very BAD deal.

Think, Mount will be good under Klopp, but signing yake hai-make sense kama tutawa-sign Jude & Nunes, unless budget ya DM iende kwa Mount then tuuze Fabinho & Curtis Jones ili kupata fee ya DM.

Barella, is a dream, but at 26 na kwa. price yake (£62m), will FSG sunction it? na nimeona, reporter aliyetoa hizo habari ni VERY reliable, i'd get Barella instead of Nunes, then sign a DM, Jude, Barella & a DM, will be a very good window.

I'm so worried na hizi links za Mount/Barella, inaonesha kuna outside chance, Klopp is planning next season with Fabinho and Bajcetic as DMs.
 
Tumefanana fikra hii team namba moja wa wakuhojiwa ni Kloop nilimpuuza tangu alivowekewa ndita na mchezaji akanywea na hakumtoa tena.

La pili hili naamini nipo pekee kifikra ya kwamba morali ya team imeshuka baada ya kuonekana mtu mmoja ndo kaleta hayo mafanikio na kupewa anachotaka hafu wengine kupuuzwa wakajiondokea kuna wachezaji pale wanamsaidia Mane kuhuzunuka kwa siri sisi tunaona viwango vimeshuka kumbe tija ya mwili ndo imeshuka.

Najua ni kawaida kutofautiana mishahara ila kuna mzingila nirafiki na mengine yanaumiza wengine.

Kloop si mwalimu wa mpira ni msimamizi tu
Salah wages were deserved.

Klopp is the only manager who can take this team back to its glory days.

He's part to blame kwa haya yote yanayotokea now, but you cant sack or want him to leave because ya off-season moja. kati ya misimu si chini ya MITANO.

He build this team, and sina doubt yeyote kuwa he will re-BUILD this team, i TRUST him.

Klopp can be naive and stupid, but tusisahau kuwa ametupa mafanikio makubwa sana chini ya owners ambao sahiv jasho linawatoka kutafuta wawekezaji kwaajili ya usajili wa msimu ujao.

Klopp, is a world class coach, hana immune ya kukosolewa wala kuwa called out akifanya blunders. BUT trust him, he will turn this around.

20230224_215540.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom