Upo sahihi sana mkuu kwenye kila comments zako , ila kuna kitu naitaji kuongezea kwenye swala la usajili ,ningependa tusiwachukue world cup stars , hawa wakina judi ambao wapo kwenye spotlight now days kwa sababu ya gharama zao , kuna wachezaji wazuri kwenye baadhi ya Ligi very cheap na wanaweza kufanya vizuri MF:MITOMA you see.Tumeona timu imeingiza pesa nyingi kiasi cha kuipiku united yenye fanbase kubwa sana not an any task kwa wachezaji wenyewe kina Keita, Ox, Gomez, Milner, Henderson. Lakini bado wamekuwa wagumu kuweka mzigo wa maana.
Congrats kwao off the pitch they have done well, but without invest on the pitch is useless.
Pesa imewakolea utamu wa hela umewazidia. Wamekaa tu huko zinaingia kwa bajeti ndogo. Ndio maana wamekuwa wagumu kutia mzigo.
I wish kusikia maneno kutoka kwa M.Edward najua ana mengi ya kuzungumzia kuhusu transfers issues.
JWH amesema LFC is not for sale lakini mazungumzo yanaendelea hope ni hao buyers wa minority share. Kwa business model yao huenda ikawafukuza even hao wa minority share buyers.
Lets wait and see. Kinachotakiwa ni uwekezaji ndani ya uwanja kwa vyovyote vile.
But heard something kuhusu uuzaji. Wale wanaojiita top reds they don’t want oil money, singing spirit of B. Shankly will do it. Laughable hear say. How truth is this???
Anatoka kwenye timu ndogo still developing, sisi hatuhitaji future potential yatatukuta yalotukuta Kwa minaminoUpo sahihi sana mkuu kwenye kila comments zako , ila kuna kitu naitaji kuongezea kwenye swala la usajili ,ningependa tusiwachukue world cup stars , hawa wakina judi ambao wapo kwenye spotlight now days kwa sababu ya gharama zao , kuna wachezaji wazuri kwenye baadhi ya Ligi very cheap na wanaweza kufanya vizuri MF:MITOMA you see.
si unaona ya chelsea , ila minamino alikuwa yupo fresh tu.Anatoka kwenye timu ndogo still developing, sisi hatuhitaji future potential yatatukuta yalotukuta Kwa minamino
Msimu ukiamua kwenda kombo unaenda tu despite good players you have, hata usajili vipi🤣 ndo kinachomkuta chelseasi unaona ya chelsea , ila minamino alikuwa yupo fresh tu.
Pamoja Mkuu.Msimu ukiamua kwenda kombo unaenda tu despite good players you have, hata usajili vipi🤣 ndo kinachomkuta chelsea
Tumefanana fikra hii team namba moja wa wakuhojiwa ni Kloop nilimpuuza tangu alivowekewa ndita na mchezaji akanywea na hakumtoa tena.And, Klopp.
We got absolutely destroyed on xG chains against 10 men Newcastle, Alisson was the man of the match against a 10 men team at St James Park.
As a coach, ulitakiwa ujiulize, WHY? why tulizidiwa kila kitu na newcastle wakiwa pungufu?
But, he thought, Yeah lets put the same fucking team with the same fucking set-up against REAL MADRID.
Tutamlaumu sana JWH/FSG, but kuna limit, and its absurd because tuna-act like kufungwq 5 goals at Anfield, ni kitu cha kawaida, because we are scared to question Klopp.
He's having a nightmare of a season, from top to bottom, kila game ambayo tunakuwa battered, tunasema ni wake-up call, but tunarudi kule-kule, hatujajifunza form Brighton, Wolves, Brentford etc, a serious coach alitakiwa a-consider his options baada ya kuwa battered ki-takwimu na Newcastle waliokuwa man down kwa muda mrefu, but he thought anaweza kui-beat Madrid na same team iliyokuwa destroyed na newcastle, ya kina Longstaff.
Pathetic.
Klopp was stupid Jumanne alifanya mambo ya kitoto Sana I don't know what's wrong with him right nowAnd, Klopp.
We got absolutely destroyed on xG chains against 10 men Newcastle, Alisson was the man of the match against a 10 men team at St James Park.
As a coach, ulitakiwa ujiulize, WHY? why tulizidiwa kila kitu na newcastle wakiwa pungufu?
But, he thought, Yeah lets put the same fucking team with the same fucking set-up against REAL MADRID.
Tutamlaumu sana JWH/FSG, but kuna limit, and its absurd because tuna-act like kufungwq 5 goals at Anfield, ni kitu cha kawaida, because we are scared to question Klopp.
He's having a nightmare of a season, from top to bottom, kila game ambayo tunakuwa battered, tunasema ni wake-up call, but tunarudi kule-kule, hatujajifunza form Brighton, Wolves, Brentford etc, a serious coach alitakiwa a-consider his options baada ya kuwa battered ki-takwimu na Newcastle waliokuwa man down kwa muda mrefu, but he thought anaweza kui-beat Madrid na same team iliyokuwa destroyed na newcastle, ya kina Longstaff.
Pathetic.
Huu mjadala wa Henderson ukishafungwo tangu mismu ule Klopp alimpanga kucheza RB nadhani vs Leicester or West Ham hapa ndio nilijua huyu dogo kama sio bahati basi kamshika Klopp pazuri, kingine ni ile gemu ya ugenini vs Manchester United huyu dogo anakomlomea Klopp wengi wakasema career yake Liverpool imeshaisha lakini ajabu dogo bado anapambwa na ma pundits wazawa japo juzi Carragher amesema kitendo cha Klopp kumtegemea dogo a perfom wonders pale kati kwa misimu yote hii na umri huu inaonyesha udhaifu kwa idara ya usajili..He wrote kitabu cha maisha yake ya soka, kabla hata hajamaliza career yake, wrote a book at 30, if anything that tells mentality ya jamaa.
1 PL and 1 CL anaona ka-complete football kabisa, Modric ana 37 years with a lot of trophies na BDO, lakini bado unamuona ana njaa ya makombe.
Tuna Captain wa hovyo sana.
Klopp is Liverpool manager in the wrong time under FSG... Hawa ma Yankees ilitakiwa wamuajili Conte na kweli angewavuruga maana mzee hua mtu wa speaking his mind hanaga cha kupoteza wala maneno matamu matamu tofauti kabisa na Klopp ambae muda wote yeye husimama na FSG hata pale inaonyesha aki speak his mind itamsaidia sana Klopp wala hutamskia..Mzigo wa kutosha hautawekwa na FSG, utawekwa na investors, kuna a lot of offers on the table, kuna za full sale na za minority share.
Its up kwa FSG kuzikubali, but my guess, watauza tu a 10-15% kama haitokuwa full sale.
We need it, maana FSG hawana uwezo wa kutoa 200-300m in the summer, tunahitaji Transfer window kubwa sana.
Gini wijnaldum pale tuliwin jamaa ni holding pia ni box to boxHolding Midfielder mmo
Upo sahihi sana mkuu kwenye kila comments zako , ila kuna kitu naitaji kuongezea kwenye swala la usajili ,ningependa tusiwachukue world cup stars , hawa wakina judi ambao wapo kwenye spotlight now days kwa sababu ya gharama zao , kuna wachezaji wazuri kwenye baadhi ya Ligi very cheap na wanaweza kufanya vizuri MF:MITOMA you see.
speechless)
)Klopp is Liverpool manager in the wrong time under FSG... Hawa ma Yankees ilitakiwa wamuajili Conte na kweli angewavuruga maana mzee hua mtu wa speaking his mind hanaga cha kupoteza wala maneno matamu matamu tofauti kabisa na Klopp ambae muda wote yeye husimama na FSG hata pale inaonyesha aki speak his mind itamsaidia sana Klopp wala hutamskia..
Ingekua bora kuuza mazima lakini ikishidikana basi hata hio partial payments itakua bora tu kwa hali tulionayo tunahitaji usajili June 2023
*Rignt Centre Back mmoja
*Central Midfielder mmoja
*Holding Midfielder mmoja
*Right Midfielder mmoja maana upande huu hua anacheza Henderson na hatoi ulinzi wa kutosha kwa Trent matokeo yake dogo anakua toasted.
*Right Winger ambao ni dynamic kucheza across the front all fonts.
Muda utasema mpaka June 2023 wawe wameuza otherwise kwa mara nyingine tena tutegemee msimu ujao utakua mbaya zaidi ya msimu huu wa sasa kwa sababu pia Newcastle, Manchester United, Manchester City, Arsenal, Chelsea, Tottenham watanunua kujiimarisha zaidi.
YNWA
Klopp was stupid Jumanne alifanya mambo ya kitoto Sana I don't know what's wrong with him right now
Jamaa alifit pale liva fixture zote alicheza with no injuryWijnaldum (let him go with no replacement
Inawezekana mbona Barcelona alipindua meza kwa PSGKlopp kawapa wachezaji nguvu kubwa sana kwamba VVD, Salah, Henderson, Robertson, Trent, Milner wakiwa ni wazima lazima wapangwe bila kukosa...
Wachezaji wanajiona ma supa players kwa vile washamuweka Klopp mtu kati...
Ni aibu kubwa kwamba aliwekeza nguvu zake zote ama karata yake ya mwisho msimu huu kupata kombe la UCL na kupata nafasi kucheza UCL msimu ujao sasa hiki kipigo hana chake tena msimu huu maana come back pale Los Blonco tupige 3 itakua ngumu.
YNWA